Sikiliza mechi kati ya Simba na Wasudan Live

Rangi ya jezi ya simba inapatikana katika Bendera yetu TUKUFU! ile rangi ya yanga ha ha ha ni ..............gambazzzzzzzzzzzzzz
Umenikumbusha ushangiliaji wa Yanga miaka hiyo, wakiimba CCM, sina hakika kama wanaweza kufanya hivyo iaka hii.
 
Umenikumbusha ushangiliaji wa Yanga miaka hiyo, wakiimba CCM, sina hakika kama wanaweza kufanya hivyo iaka hii.

Bado wanafanya hivyo! wewe subiri siku Taifa kubwa(Mnyama) anacheza nao hafu wao wawe wa kwanza kupata goli utasikia tu cc magamba! cc magamba! na si vibaya kwani history ya hilo litimu ni CCM! na ndiyo maana Babake RIZ moko alisema usipokuwa mwanachama wa ccm au mpenzi wa yanga wewe si mzalendo! mtazamo finyu wake yani!
 
Back
Top Bottom