Amejitahidi nini?
Ameeleza mwenyewe kuwa, Wakati anakwenda UK, UK investers ndio walikuwa wanaongoza tanzania in term of Investments, Tokea amekuwa yeye balozi idadi ya investers toka uk meshuka,! sasa kajitahidi nini? Huyu mama alikuwa divisive kule UK kazi yake ni kufungua vituo vya CCM
Akirudi Tanzania inabidi ashitakiwe kwa sababu sheria ya Tanzania hamruhusu mfanyakazi wa serikali kujihusisha na siasa ya chama fulani, hyu mama kakeuka maadili ya ubalozi. Akamatwe mara moja na awekwe ndani