Sikiliza mahojiano ya Balozi Mwanaid Maajar

Amejitahidi nini?

Ameeleza mwenyewe kuwa, Wakati anakwenda UK, UK investers ndio walikuwa wanaongoza tanzania in term of Investments, Tokea amekuwa yeye balozi idadi ya investers toka uk meshuka,! sasa kajitahidi nini? Huyu mama alikuwa divisive kule UK kazi yake ni kufungua vituo vya CCM

Akirudi Tanzania inabidi ashitakiwe kwa sababu sheria ya Tanzania hamruhusu mfanyakazi wa serikali kujihusisha na siasa ya chama fulani, hyu mama kakeuka maadili ya ubalozi. Akamatwe mara moja na awekwe ndani
 
Huo ni mtazamo mmoja lakini kama unakumbuka hivi karibuni aliandaa kongamano kubwa saana lengo hasa lilikuwa ni kuvutia investment. Yale kwangu pia ni mafanikio. Lakini hili la UK kuporomoka toka nafasi ya kwanza inawezekana investors kutoka mataifa mengine yameongezeka na si kwamba investment kutoka UK imepungua.
 
Investors watakuja kwa makongamano? Kwa kurabishwa na rais? Bila mabadiliko makubwa katika fikra zetu watakuja matapeli tu. Tunahitaji kuwekeza kwenye infrastructure zote si barabara tu ( umeme, maji, maji chafu n.k.). Tunahitaji tuondoe ukiritimba katika utendaji kazi wetu. Tunatakiwa tubadilike na kuacha kumuangalia mwekezaji kama adui. Inabidi tuweke na systems zilizo wazi na sio zinazowapendelea wale wenye connections peke yake! Tunapozungumzia uwazi, huyu mama alifanya nini kulishughulikia ishu ya yule jamaa aliyedhulumiwa na ndugu yake Mengi? Waingereza watatupima kwa jinsi tunavyoshughulikia vitu kama hivyo na sio namna tunavyotayarisha makongamano. Bila kufanya haya, haji mtu. Hawa ni wafanyabiashara na hawaendi mahali pasipo na tija.

Amandla........
 
Huo ni mtazamo mmoja lakini kama unakumbuka hivi karibuni aliandaa kongamano kubwa saana lengo hasa lilikuwa ni kuvutia investment. Yale kwangu pia ni mafanikio. Lakini hili la UK kuporomoka toka nafasi ya kwanza inawezekana investors kutoka mataifa mengine yameongezeka na si kwamba investment kutoka UK imepungua.


Mafanikio yanakuwa judged na results, kama results za kongamano zilikuwa zero maana yake hakuna mafnikio, na zaidi aliingiza hasara kwa kulipia gharama nyingine bila kupata faida

Mabalozi wanaostahili sifa ni wale walioweza kuongeza idadi ya Investers sio waliokuwa na idadi ya malongamano>

Tumjaji mtu kwa tangible results sio blablaa

BNHAI, Waombe msamaaa watanzania kwa kuleta kebehi na mafanikio hewa
 
Bnhai
Umenena Hivi sasa duniani nchi ambayo inaongoza kwa kuwekeza ni china. Recession ambayo iianza polepole miaka 2 iliyopita imeathiri sana uwezo wa kuwekeza toka nchi nyingi za ulaya na marekani kuliko china.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom