Mnabisha ? Sisi wazanzibari tuna experiance na mambo haya ya ya utekaji ,ukamatwaji,tunajua kuwa na tulikuwa tunajua walimkamata ni jeshi la police na usalama wa taifa, jeshi la police limekanusha tena kwenye vyombo vya habari.
Aibu kwao,walifikiri wanzanzibari mdebwedo ? Labda waislamu wa tanganyika mdebwedo lakini sio wazanzibari moto hauzimiki tukiuwasha,hakuna ppolice wala jeshi atakae tushughulisha,amani sisi wenyewe ndio tutakao iweka na sisi ndio tutakayo ivunja,na sio kwa mtutu wa bunduki au bomu la machozi.
Miaka 48 sasa ya muungano tumeshazoea hayo yote,wameanza kuuliwa uliwa wale wali fanya mapinduzi kama kasim Hanga,na wengine,na imefika time ikawa wazanzibari wengewe sasa wakipigwa risasi, tumeshazoeya,na kamwe hatutafumbia macho hadi pale zanzibar huru itakapo achiwa na muungano.
JAMUHURI YA WATU WA ZANZIBAR KWANZA.