Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

Mix ya bongo way back season B(1) ni kali ila hujaitendea haki mkuu

Wimbo una play haufikishi hata sekunde 10 unakata mkuu?

Daaaah!! Sio poa mkuu
 
Mix ya bongo way back season B(1) ni kali ila hujaitendea haki mkuu

Wimbo una play haufikishi hata sekunde 10 unakata mkuu?

Daaaah!! Sio poa mkuu
Mkuu nitajirekebisha..japo nafanyaga hivo coz nymbo tamu zipo nyingi
Ukisema zipige mpk mwsho..itakuwa nonstop ya masaa mngi...utaziboa mapema..
 
Back
Top Bottom