Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,884
- 51,698
Kuna mix moja umefanya ya kibongo hukuweka nyimbo ya number one ya rayvan, nakapenda hako kasongWakuu naomba.naombeni msaada wa kunitajia kila msanii wa bongoflava unayemkumbuka kichwani miaka hiyo..nyimbo aliyotoka nayo..yaani iliyomtambulish kimuziki...nataka nifanye yangu


ila all in all ni nzuri, jaribu usisahau hits mkuu