Tatizo letu watanzania tumekalia umbea mganda anatumia msiba wa dr mengi kutengeneza fursa za kuuza beji zenye picha ya hayati dr mengi ilihali sisi tulienda kushangaa jeneza na kuangalia nani kapendeza
R. I. P mzee wa fahari ya wanyonge #DR MENGI
Acha lawama za kijinga ukienda Uganda nao wanalalamika kwa nini watanzania wamekamata fursa nchini kwao ususani wahaya kumiliki mahotel na maduka makubwa tembea huone..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.