Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,351
Majuzi rafiki yangu alikopa pesa huko sijui mgodi sasa alipoanza kudaiwa ni mesage ya Mgodi ila siku ingine ni namba kama namba.
Sasa kajuaje anadaiwa na huku ni kitu cha siri. Hata ukiwa na hela kwenye account unaanza kupigiwa na simu za ajabu ajabu.
Naonelea wazo tu. Je, kama ni watu wanaofanya kazi Vodacom ndio wanawasaidia hawa watu washinda mamillioni kisa account inasoma.
Hamshangai Airtel hakuna, tigo hakuna, namba nyingi ni za voda za hao matapeli.
Sijui kwanini.
Ili limenishangaza mimi!