Elections 2010 Sikia kioja hiki cha TBC..!

Hameni tbc ,itv kuna ile hotuba ya baba wa taifa na waandisi wa habari. Pia naomba wadau mtupashe huo mdahalo ni saa ngapi? Na je kuna kituo chochote kinaurusha? Hima wandugu.
 
Wanaoupenda mwenge wasiwe na wasiwasi wataukuta jumbo la Makumbusho
anytime they want to see it, hug or kiss even make love to it whenever they feel.
No more trashing money and spreading ukimwi under Mwenge's name.

Dr Slaa ataulaza mwenge mahali pema "makumbusho"

vunja ukimya ongea na CHADEMA
 
Wazanzibari tumeacha kuwa na akili ya kiwenda wazimu ya kufukuza moto aka Mwenge ,wanaofukuza mwenge bado wanahitaji elimu ya kisaikolojia ili wajue walifanyalo ni jambo la ajabu au jambo la kizezeta !
 
Back
Top Bottom