funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 38,535
- 31,199
Nawakumbusha tu zile siku 30 walizopewa wawekezaji feki wa viwanda na wamiliki wa viwanja mahekari kwa mahekari bila kuviendeleza zinakaribia.
Hapa ndipo viongozi wa Ukawa watakapoanza kuguswa halafu tusikie mnasema ni siasa!!
Nazjaz tuletee list ya waliojimilikisha maeneo ya wazi,ranch za ufugaji za Taifa,n.k
Hapa ndipo viongozi wa Ukawa watakapoanza kuguswa halafu tusikie mnasema ni siasa!!
Nazjaz tuletee list ya waliojimilikisha maeneo ya wazi,ranch za ufugaji za Taifa,n.k
Last edited by a moderator: