Sijutii kukataa kupewa nyumba nzuri na baba mkwe, nina amani sana na familia yangu kwenye nyumba ya kawaida niliyopanga

Sijutii kukataa kupewa nyumba nzuri na baba mkwe, nina amani sana na familia yangu kwenye nyumba ya kawaida niliyopanga

Hiki ndicho alichokataa.
Maisha yake yote angehisi mnyonge anapaswa kushukuru kubebwa na mkwewe.
Kwa lugha nyingine kubebwa na mkewe.
Ipo siku angkuja kuambiwa yeye bila baba mkwe wake hasingweza kujenga angekufa masikini nyumba ya kupanga.
wew ndio umenielewa vizuri kabisa, sikutaka huko mbele msaada ugeuzwe fimbo
 
Mimi nilipangangwa hivyo nikavaa uso wa mbuzi na kuanza kuingilia kazi zake na kutoa amri za hapa na pale kwa wafanya kazi wake, mwenyewe alichomoa waya, nikamwambia naenda kuipangisha nyumba ulionipa nitapata faida kadhaa wa kadhaa, maana alikuwa ananinanga kuajiriwa akisema nianze kufanya bisahara, akang'aka na kumtimua binti yake kwenye hio nyumba, nikajisemea.......
Mission Accomplished
 
Kipindi naoa, baba mkwe alitaka kutupa nyumba yake bure kabisa, ni nyumba ya kisasa na kulikuwa na baadhi ya vitu kama samani.

Jambo hilo nilikataa kabisa, nilirudi na wife kajumba kadogo nilikopangisha lakini amani niliyokuwa nikiipata ni kubwa sana.

Bado waliendelea kuniomba nihamie nyumba kubwa lakini niliwatolea nje hadi wakachoka.

Baada ya familia kuwa kubwa tukahamia nyumba kubwa kidogo ambayo tupo hadi sasa huku ujenzi ukiendelea ambao unaelekea kumalizika.

Peace of mind ni kitu muhimu san
Wewe kweli akili yako haina akili wote na huyo baba mkwe......Hivi huku duniani kuna mtu anapewa kitu cha bure? Ili iweje, tafuta vya kwako fala wewe.
 
Umejiumiza bure tu ungekaa kwenye hiyo nyumba then hela uliyotumia kujengea kwa mateso na damu ungeizungushia kwenye biashara leo ungekuwa tajiri mkubwa tu na ungeweza kujenga nyumba 2, baba mkwe ungemrudishia nyumba yake kwa furaha na vigelegele tena ungemwambia nyumba yake imezaa nyumba 2 na 1 umepangisha.
Ndugu wakati wa kufurahi na vigelegele ndio huu anapaswa amuite mkwewe(wote)
Amwambie ile nyumba uliyotupa na hatukuhamia ilinipa fundisho, nimejifunza ku make ili tujenge ya kwetu ambayo sasa ndio hii.

Pengine wasingeonyeshwa nia ya kupewa nyumba, ingewachukua muda mrefu zaidi kujenga au WANGE hamia kwenye nyumba ya kupewa pia ingewachukua miaka mingi na delay nyingi mpk kujenga yao harali.
 
Rule no.9 of being a hustler: never ever reject a golden chance that will push you to another stage of life! Wewe haukujua hii sheria! Aiseeee!
Golden chance ni akili yako tuu mazee. Ukiendeza hizoambo za kila golden chance mwisho utaaga pambano la kiume watu watoe Malinda.
 
Golden chance ni akili yako tuu mazee. Ukiendeza hizoambo za kila golden chance mwisho utaaga pambano la kiume watu watoe Malinda.
km la mama ako! Naona kutolewa malinda kumekukaa kichwani sana! Yaani unaleta hadi kwenye mada ambazo hazihusiani na huo ushetani! Au mwanetu ushaliwa jicho tayari?
 
Kipindi naoa, baba mkwe alitaka kutupa nyumba yake bure kabisa, ni nyumba ya kisasa na kulikuwa na baadhi ya vitu kama samani.

Jambo hilo nilikataa kabisa, nilirudi na wife kajumba kadogo nilikopangisha lakini amani niliyokuwa nikiipata ni kubwa sana.

Bado waliendelea kuniomba nihamie nyumba kubwa lakini niliwatolea nje hadi wakachoka.

Baada ya familia kuwa kubwa tukahamia nyumba kubwa kidogo ambayo tupo hadi sasa huku ujenzi ukiendelea ambao unaelekea kumalizika.

Peace of mind ni kitu muhimu san
Umekosea, ungempa one condition kama anataka uamie kwenye nyumba yake basi title deed ya eneo itiwe jina lako. Baada ya mchakato wakubadilisha title deed kukamilika ndio uamie.

Easy peasy baba mkwe
 
Ningekuwa mimi ndo wewe hiyo ni golden chance
Ningeomba anikabidhi na hati ya nyumba tu

Nahamia nakaa miezi 3 nauza mjengo wake nanunua mjengo wangu.
Very simple!
 
Hongera,jirani hapa mara atupiwe nguo nje,mara akapange,ndugu zake wakija wanasimangwa na kufukuzwa,,huyu mwanaume ni nes sijui Dr lkn Hana ajira anajishikiza kwenye vihospital,mwanamke nae Hana ajira now kafunguliwa ofisi ya muamala na baba yake ,mwanamke kwao pesa zipo na wapo watoto wawili TU, huyu mwanaume ni manyanyaso tupu🙌

Alifukuzwa karudi tena,anasema anarudi kwaajili ya watoto. Anafokewa kama mtoto daah,inasikitisha.
Et karud kwa ajili ya watoto,kwan asipokuwepo watoto wanateseka!?
 
Ningekuwa mimi ndo wewe hiyo ni golden chance
Ningeomba anikabidhi na hati ya nyumba tu

Nahamia nakaa miezi 3 nauza mjengo wake nanunua mjengo wangu.
Very simple!
Huo ndio mwanzo wa kuanza kuwekeana chuki hapo, wao wataanza kuona hutaki kuishi unataka kuja kuiuza nyumba yao.

Na mimi niliona hata nikiishi hapo basi siku za mbele nikigombana na wife wataanza zile dharau bila sisi usingepata pa kuishi au shudkrani ya punda mateke.

Kujiwekea kinga nilikataa
 
Kipindi naoa, baba mkwe alitaka kutupa nyumba yake bure kabisa, ni nyumba ya kisasa na kulikuwa na baadhi ya vitu kama samani.

Jambo hilo nilikataa kabisa, nilirudi na wife kajumba kadogo nilikopangisha lakini amani niliyokuwa nikiipata ni kubwa sana.

Bado waliendelea kuniomba nihamie nyumba kubwa lakini niliwatolea nje hadi wakachoka.

Baada ya familia kuwa kubwa tukahamia nyumba kubwa kidogo ambayo tupo hadi sasa huku ujenzi ukiendelea ambao unaelekea kumalizika.

Peace of mind ni kitu muhimu san
Moral of the Story!?

Storyline yako ilikuwa nzuri but hukuimalizia vyema!

Moral of the story "TARATIBU.... MDOGO MDOGO UNATOKA KWENYE UPANGAJI!"

Mvulana ndie anaejisifia kujenga! , "MWANAUME ANASIFIWA KWA KUWA NA MJI!(" Elewa maana ya neno "Mji")"

Mji sio jengo wala mjengo!
 
Kipindi naoa, baba mkwe alitaka kutupa nyumba yake bure kabisa, ni nyumba ya kisasa na kulikuwa na baadhi ya vitu kama samani.

Jambo hilo nilikataa kabisa, nilirudi na wife kajumba kadogo nilikopangisha lakini amani niliyokuwa nikiipata ni kubwa sana.

Bado waliendelea kuniomba nihamie nyumba kubwa lakini niliwatolea nje hadi wakachoka.

Baada ya familia kuwa kubwa tukahamia nyumba kubwa kidogo ambayo tupo hadi sasa huku ujenzi ukiendelea ambao unaelekea kumalizika.

Peace of mind ni kitu muhimu san
wakwe wa kibongo usiwaamini kamwe, me kuna bro ang alipewa kiwanja tena kwa maandishi .. si akajenga jumba hilooo... badae visa vikawa vingi si kwa mke wala ba mkwe.. jamaa akaona sio kesi akawaachia mke na nyumba na watoto wawili..... ni hatare
 
Back
Top Bottom