Jamani jana nilikuwa naangalia MALUMBANO YA HOJA #ITV nilishangaa wasomi wanaitetea CCM kabisa, wakihoji wanaotaka mabadiliko wanataka mabadiliko gani? Halafu anahoji inawezekanaje kusoma bure la kwanza mpaka chuo kikuu? Tena akaongezea akaanza kusema chuo kikuu tunahitaji mkopo halafu kuna laki mbili na nusu sijuwi za nini, karibia milion tatu na kitu kila mwanafunzi wa chuo, na wanafunz ni weng, je pesa hiz zitatoka wapi?
Msomi huyo chuo kikuu Dodoma, nilishangaa kweli hivi nani ambae hajuwi nchi hii ina rasilimali za kutosha, vyanzo tu vya mapato ni mvua, naweza kusema tu kwamba sekta ya utaliii pekee inaweza kusomesha wanafunzi kama ikisimamiwa kikweli kweli, jaman hawa ni wasomi au nao wanalipwa mshahara wanajisahaulisha?