Kauvuta mdomo mrefu kama kwato za le mutuzz!bi harusi kama anasuta mtu vile.
Hata mimi nimehisi itakuwa ndoa ya mkekaChezea mkeka wewe...?
me Simo!! le mutuzz akikuona😀😀😀Kauvuta mdomo mrefu kama kwato za le mutuzz!
Huyo mwanamke anaonekana ni Mwehu angalia mdomo wake vizuriHili bila shaka ni fumanizi.... Hapo ameitwa sheikh haraka haraka.....


