Sijui tutapata lini wabunge Kama hawa!!!!

kigori wa kilwa

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
483
Reaction score
149
ImageUploadedByJamiiForums1402165822.606812.jpg
 
Hata hao nao walikua mafisadi tu sema labda mianya ya kufanya ufisadi ndo ilidhibitiwa.
Usisahau kwamba Mwl Nyerere kipindi hicho ndo ilimbidi aunde sheria kali za uhujumu uchumi jiulize kwanini,
Jibu ni kwamba alishajua kuna walafi na walaku bila kuwakazia ingekua balaa.
 
wale wa zamani ufisadi wao ulikuwa wa ki analogia lakini huu wa sasa ni wa kidigitali na wa hatari sana maana hakuna wa kumfikiria mtu wa kipato kidogo au wa kijijini kama nyerere alivyokua anawaota watu wa vijijini na lini nao wawe watu.
 
Umeona eehh Mkuu Hawa yani live bila chenga tena na hizi kashfa ndio balaa kabisa
 
attachment.php

Hivi uadilifu wa wabunge unapimwa kwa mali anzomiliki au umadhubuti katika usimamizi wa rasilimali za umma, utawala wa sheria, uwajibikaji na matumizi bora fedha na rasilimali kwa manufaa ya wananchi.

kama ni mambo ya magari na mali akizittafuta kiuhalali na akzipata kiuhalali haina tatizo kwani anaweza kutembelea gari la milioni 100 wakati kaiba milioni 400 kwenye mradi wa serikali.

na siku hizi wanaziiba na kuzipeleka nje ya nchi sasa kwa kigezo hicho utamtambuaje???
 
Hata hao nao walikua mafisadi tu sema labda mianya ya kufanya ufisadi ndo ilidhibitiwa.
Usisahau kwamba Mwl Nyerere kipindi hicho ndo ilimbidi aunde sheria kali za uhujumu uchumi jiulize kwanini,
Jibu ni kwamba alishajua kuna walafi na walaku bila kuwakazia ingekua balaa.

Namkumbuka mmoja alikamatwa na pembe za ndovu Songea sijui aliishia wapi, Nyerere hakuwa na mchezo nao, lakini leo:
Mwingine kakamatwa na rushwa hotelini bado analelewa,
Mwingine kala cha juu kwenye rada, anaogopwa,
Mwingine anakula denda na vijukuu, hakuna tamko lolote toka kwa walio juu yake
Mwingine yupo uchi wa mnyama kaatamia mama wa barabarani huko, hakuna tamko
Wengine walitajwa kufumaniwa wakiwa na wake za watu huku na kule, lakini kimya
Ubunge wa miaka hii hauna maadili hata chembe kila kosa linachukuliwa ni poa tu
 
Ezi za ukweli na uwazi uwajibikaji hapo ndio ilikuwa nguzo kuu
Hatuoni tena hii kitu tutabaki kusoma tu
 
]Namkumbuka mmoja alikamatwa na pembe za ndovu Songea sijui aliishia wapi, Nyerere hakuwa na mchezo nao, lakini leo: [/COLOR]
Mwingine kakamatwa na rushwa hotelini bado analelewa,
Mwingine kala cha juu kwenye rada, anaogopwa,
Mwingine anakula denda na vijukuu, hakuna tamko lolote toka kwa walio juu yake
Mwingine yupo uchi wa mnyama kaatamia mama wa barabarani huko, hakuna tamko
Wengine walitajwa kufumaniwa wakiwa na wake za watu huku na kule, lakini kimya
Ubunge wa miaka hii hauna maadili hata chembe kila kosa linachukuliwa ni poa tu
Yule wa songea alipigwa mvua nyingi sana mpaka nyumba yake ikapigwa bei bado yupo songea ila amechoka vibaya sana, aliporudi kutoka jela hakukuta wanawake wake walikua wameshaolewa tayari.......JK NYERERE alikua noooma aisee
 
Yule wa songea alipigwa mvua nyingi sana mpaka nyumba yake ikapigwa bei bado yupo songea ila amechoka vibaya sana, aliporudi kutoka jela hakukuta wanawake wake walikua wameshaolewa tayari.......JK NYERERE alikua noooma aisee[/iQUOTE]

Na shost yake Sokoine waliwaadabisha watendaji bila kuwaonea haya.
 
kuwapata wabunge kama hawa haitakuja kutokea tena...kuwapata hawa ni sawa na mwanamke kurejesha ubikir.a wake!
 
kipindi hiko nyundo na jembe kweli kweli, siku hizi pesa na uongo.
 
Back
Top Bottom