Ni kumtokea na panga tu na kumuwasha za mashavuni, alafu hapohapo unaandaa hela ya kuwahonga polisiWana fj, habar zenu,,
Naishi na familia yangu,miaka minne iliyopita tuliamia kwenye nyumba yetu hapa dar..jiran yetu alitupokea kwa furaha na kutuambia habar za mtaa mzima,alituambia pia watu ambao yeyehawapend hatak tuongee nao. Siku zinavyozid kwenda tunatokea kuwazoea majirani wengine zaid yake, kitendo hicho kimemuudhi na amegeuka adui yetu balaa,, amewekea sumu mifugo yetu kuku na paka tuliye kuwa tunafuga wamekufa,, kuna siku alikuja na mganga kwake tukashangaa kuku wetu mweusi haonekani na manyoya yapo shimon pake, bata wetu wakipita uwanjani kwake anawakata miguu,yaan tunaimbiwa taarab kila cku,alishawah kumvuta mdogo wangu kwake na kumng'ata begani mpaka tukampeleka hospital,akifagia kwake uchafu anatupa upande wetu coz ss tupo chin yake kidogo,tumemripot police na kwa balozi mara kadhaa ila hatuon hatua zozote zikichukuliwa,na hii inatuogopesha sabab anatumia had watoto wake kuwaumiza wadogo zangu na kutuibia mifugo yetu maskin tumepaki na vifaranga tu ..naombeni ushaur
Jaribu kuweka uzio huenda ikasaidia. Pole sana kwa hayo majanga.Wana JF habar zenu.
Naishi na familia yangu,miaka minne iliyopita tulihamia kwenye nyumba yetu hapa Dar.
Jirani yetu alitupokea kwa furaha na kutuambia habar za mtaa mzima,alituambia pia watu ambao yeye hawapend hatak tuongee nao.
Siku zinavyozidi kwenda tunatokea kuwazoea majirani wengine zaidi yake, kitendo hicho kimemuudhi na amegeuka adui yetu balaa, amewekea sumu mifugo yetu kuku na paka tuliye kuwa tunafuga wamekufa.
Kuna siku alikuja na mganga kwake tukashangaa kuku wetu mweusi haonekani na manyoya yapo shimon pake, bata wetu wakipita uwanjani kwake anawakata miguu.
Yaani tunaimbiwa taarab kila siku,alishawah kumvuta mdogo wangu kwake na kumng'ata begani mpaka tukampeleka hospital.
Akifagia kwake uchafu anatupa upande wetu coz sisi tupo chin yake kidogo,tumemripot police na kwa balozi mara kadhaa ila hatuoni hatua zozote zikichukuliwa,na hii inatuogopesha sababu anatumia had watoto wake kuwaumiza wadogo zangu na kutuibia mifugo yetu maskin tumepaki na vifaranga tu.
Naombeni ushauri.
Utawezaje kuishi unaongea na mtu mmoja mtaani, coz yeye amegombana na karibia majiran wote, na ss ndo tunapakana nae kabisa,pia sisi hatujui ugomvi wao umeanzia wap, utaanzaje kuacha kuongea na mtu kwa sababu ya ugomvi usikuhusu na wala hauujui??Kwa nin mlianza kuongea na watu ambao yeye hawapendi.kumbe mlitaka wenyewe mana mlikiuka masharti