Sijui tuite maajabu au miujiza?

Mtalingolo

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2011
Posts
2,181
Reaction score
410
Ng'ombe akutwa juu ya paa lanyumba mitaa ya kati...
 

Attachments

  • Ng'ombe.jpg
    13.4 KB · Views: 81
Hapo piga ua itakua Sumbuwanga (sumbawanga) au Pemba, kama sio Bagamoyo! Au Gambush !
 
Mbona kawaida sana hiyo,huku kwetu pande za namanyere hatuoni ajabu
 
Hahahaaa kwanin mkuu?? Labda paa lako linanyasi?

Hahahaha hilo paa litakua na uzitogani wakubeba n'gombe pia jiulize kapandaje hapo juu ukiwaza hayo hata bag hutakumbuka wala nguo hutabadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…