Sijui safari iliishaje hapa!!!

Sijui safari iliishaje hapa!!!

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Posts
23,265
Reaction score
17,134
Imagine uko katika hii ndege....

oh_crap1.jpg
 
lol unanikumbusha nilikuwa ninaangalia kipindi cha documentary fulan ktk Discovery Channel za kugongana kwa ndege
we usiombee hiyo kitu ikukute mbona utakufa kabla ya ajari yenyewe..
 
Photo shop at work!!
kuna ndege zilisha wahi kuumana usokwa uso moja ilikuwa inatoka India na nyingine ilikuwa inatoka Kazhakstani
wewe zilipokutana kila moja ilibakia kipande nusu ..usiombee
 
Back
Top Bottom