Chinchiler
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 2,554
- 3,191
Ipo hivyo baada ya siku kazaa aje atupe mrejeshoHuenda ukapokea bad news
Ipo hivyo baada ya siku kazaa aje atupe mrejeshoHuenda ukapokea bad news
Mental healthNimejawa na hofu sana gafla tu moyo unauma kwa hofu sana sijui kwanini hofu imetanda san
Inaweza ikawa nini?
MEDITATIONHakika kila nafsi inajijua.......
Icho kinachokujia na kujilaumu ndo tatizo......
Pata muda wa kurelax na fanya meditation