hahaha umenifurahisha na huo msemo wa 'automatikale'
huwa nalog kwa kutumia both emails so means hapo ni kama ninazo id mbili kwenye account moja, zinatumika zote na wala hakuna kufa moja, ni system wakiamua tu, ila taarifa ndio zinakuwa the same.
Huko fesibuku sasa, JF twaingia na mails?
Afu unavoniita hilo jina naona kama unantia gundu vile...
wanaojua programming wananielewa, kulog kwa emails au id names hakuna tofauti, ni wao tu wameamua ulog in kwa email or id name or kwa namba ya simu
kosa gani mkuu? Kama suala ni id mbili sio siri, hata Invisible anajua hilo.
Nini mimi, kuna member alikuwa nazo kumi na nane, kama utani vile.