Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
It just happens my dear,tumeumbwa kupenda na kupendwa...piga moyo konde mpendwa funguka tu kwa huyo jamaa kama mwanaume muelewaji atajua kweli kapata na atakuthamini sana tu....Tatizo la pekee linaloweza kutokea ni kwamba inawezekana hakufeel and that thought is so scary!mpenz ht usiufungue ni hatari mno....nilikuwa pembeni naogopa hayohayo,hata sielewi imekuaje.....
Kwa nini ukasema he is not there for you? tayari ana mtu wake au??Yaani siamini km nimependa tena jamani!!
...I real lov him 2 the xtent cwez elezea!
..tatizo langu nitatokaje hapa,hv tried bt nashindwa,najikuta naumia!coz i knw he s nt there 4 mi!!nishapungua 1kg jamani coz nashindwa ht kula vzr!! uwiiiiii
NB:he s jus a friend
abomination!!...yaani nimwambie!!?, nahisi he knws that!!
Awwwwwww! She is in love again!!!!!!! LOVE IS IN THE AIR!!!!!:hug::hug::hug:
Mtege mtege tu, we mkubwa banaaa!!!!!!! Huwezi shindwa! Unakuwa all smiles, eyes contact, kumgusa gusa! You will be fine bana! Mie kubwa lako la maadui nafuatilia kwa ukaribu!
Mkuu,wenzio wanahangaika na gym kukata weight,wewe una automatic weight reducer...bahat iliyoje mkuu...?
Back to topic,better umwambie,au omba naye out then huko mtakapoenda out try kumwekea ishara ajue unampenda.ukiona haelew,mfungukie,vunja ukimya!
Pole mpendwa,nakushauri umwambie,ili ujue mpo page moja au lah!hapa chances ni 50/50 so jaribu bahati yako dear he might be your princecharming!Mie moyo wangu nishautia kufuli kabisa naogopa kuufungua!
Ha haaaa,kubwa la maadui...ndege mjanja kunaswa kwny tundu bovu sio mchezo!
...don wory..
Cc:kibibi jongo
Kwa nini ukasema he is not there for you? tayari ana mtu wake au??
It just happens my dear,tumeumbwa kupenda na kupendwa...piga moyo konde mpendwa funguka tu kwa huyo jamaa kama mwanaume muelewaji atajua kweli kapata na atakuthamini sana tu....Tatizo la pekee linaloweza kutokea ni kwamba inawezekana hakufeel and that thought is so scary!
Usimwambie.....vitendo vinatosha!!!!!
Mpe tundi
But its still worth a try,kuliko kufa na donda la moyo. Kumbuka ni 50/50 chance as I said before!Hapo ndo pagumu...kuambiwa 'ckupendi/ckutaki' ushafikiria!?