Sijui nitatokaje hapa

umechanganykiwa.....mwambie dingi ako akupeleke hospito upmwe akili

...for sure, ishu hapa ni uchizi sio love, yule Dr aliye msaidia bwanamdogo Lukosi anaweza kumsaidia maana naona lukosi kapunguza kupost taka ngumu jukwaani...
 
let love lied the way....
 
...for sure, ishu hapa ni uchizi sio love, yule Dr aliye msaidia bwanamdogo Lukosi anaweza kumsaidia maana naona lukosi kapunguza kupost taka ngumu jukwaani...

Wee wee weeee tena ukome km ulivyokoma nakwambia!
..yanakuhusu nn?umelazimishwa kuchangia hapa!!! Narudia tena ukomeeee,
..km ukoo wenu umechanganyikiwa huko huko, hunijui ckujui ...shut up u a mouth
Kazi kuharibu thread za watu hapa!
Km unaona takataka kachangie ambazo sio takatakaqau hapa mmu umeiona hii tu!!?hutaki unaacha.poor u!!
 

...kimeshadhihirika,hili ndo tatizo wala sio love, wahi milembe...
 
acha uoga mwambie mwandikie hata msg madd fcbk then mwandikie yko ya moyoni kama huwezi kumweleza laivu jibu lake ndo kupona kwako hutaki endelea kupungua kilo sio vibaya una trim mwili

Ushauri huu ungemfaa Kongosho, huyu unayemshauri unawezakuta Millen Magese mnene kwake.. #sijui
 
Last edited by a moderator:

Umempenda kiukweli kabisa kabisa?
Yaani ukimuona tu yaani unapata majigilili (goosebumps) yaani unaniliu yaaniiiiiiiiiiiiiiii........??????????
Kabisa kabisaaaaaaaaaaa............???????????
 
abomination!!...yaani nimwambie!!?, nahisi he knws that!!

Kama ni mimi naomba ukaze tu moyo uniambie... Haha... Pole sana, unaweza kuta mshkaji mwenyewe ni 'domo zege'.
Ukisikia "Watu wamekufa na ndoto..", ujue miongoni mwao wamekufa wakisubiri watongozwe na wale wanaowapenda sana. Kaza moyo dada.
 
pole bestito jamani fanya mazoezi kwa wingi na hasa kula mbogamboga za majani zitakufanya usahau kabisa kwake halafu soma sana majarida na vigazeti ili vikusahaulishe utatoka tu hapo usijali best
 

Any update!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…