FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,422
Mwambie nakuja kulea watoto
Watoto wanapata shida sana napata stress sana .natamani nimtongoze shemela kwa ajili ya watoto Ila simfiili kabisa sio flavour zangu.
Wewe huna Mkuu?Wanawake wanahuruma kweli
mzee mbona una maswali ya ajabu. malaya haangalii mapenzi anaangalia pesa. kojoa usepe. wanawake wana roho ya ajabu sana.Nilichomaanisha ni je unaweza ku-sex na mtu ambaye haujampenda?
Sasa ukishaolewa bila kumpenda afu ukakutana na jamaa unayempenda akataka kukuoa utakuja na uzi gani?Kuna ndugu yangu bwana alipata matatizo wakati wa kujifungua akafariki akaacha kichanga.na wenzake wawili.
Watoto wanapata shida sana napata stress sana .natamani nimtongoze shemela kwa ajili ya watoto Ila simfiili kabisa sio flavour zangu.
Sana tu.Kupunguzia nyegeNilichomaanisha ni je unaweza ku-sex na mtu ambaye haujampenda?