Watoto hawawezi kuelewaNimekuelewa vzr!
Hayupo huku.sio memberMkuu, Huyo shemela wako ndie mimi....[emoji11][emoji9]
Ahahaaa acha tu.wewe hunaga favorite flavour?Flavour zako ni zip miss
Moyo mashine Mkuu simpendi baba yao wala hanivutiiFlavour na thawabu utazipata mbele kwa mbele. Kama moyo wako umeridhia kuwalea hao watoto nenda ukawalee. Hapo hamna haja ya kumpiga verse kuwa karibu na watoto mambo yote yataenda saawia