Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,849
- 113,277
Naona umechomoka kujielekeza kibla wallah....[emoji30][emoji30][emoji30]Hayupo huku.sio member
Naona umechomoka kujielekeza kibla wallah....[emoji30][emoji30][emoji30]Hayupo huku.sio member
si hadi akupende, kama hakupendi je! sio wanaume wote ni dhaifu kihivyoSasa yeye je? Huoni nitamtesa?
Yule atanipenda tusi hadi akupende, kama hakupendi je! sio wanaume wote ni dhaifu kihivyo
Kwani mfuko wangu upoje?Uyo shemeji lazima mfuko upo vizuri. Sidhani kama kigezo cha watoto pekee kinakusukuma kuolewa nae.
Unaweza kuolewa na mwanaume mwenye watoto na mfuko haupo vizuri?Kwani mfuko wangu upoje?
Alivokuwa anazaa alidhani nani ataprovide kwa wanae?Unaweza kuolewa na mwanaume mwenye watoto na mfuko haupo vizuri?
Nimekumiss sana .nikimkosa shemela nakuja kwakofleva zikoje za kitandani au damu haziingiliani
Karibu nakusubiri kwa hamu sana, mi sina cha flevaNimekumiss sana .nikimkosa shemela nakuja kwako
Kweli Mkuu vitu used sio kabisaMiss achana na wagane na waume za marehem njoo kwangu ule mashine na helA yakutosha
Ndio chukua uamuzi sasa uje kwa handsome wa kwanza kuwa na helaKweli Mkuu vitu used sio kabisa
Olewa tu utapata dhawabu nyingi ukiwalea vizuri. We ndenda msaidie Kupika kuogesha Watoto mwenyewe atakoleaKuna ndugu yangu bwana alipata matatizo wakati wa kujifungua akafariki akaacha kichanga.na wenzake wawili.
Watoto wanapata shida sana napata stress sana .natamani nimtongoze shemela kwa ajili ya watoto Ila simfiili kabisa sio flavour zangu.
Mkuu acha vituko. Unajidai hupendi kula maharage wakati unakunywa mchuzi wake. Unampenda.Olewa naye.Sasa yeye je? Huoni nitamtesa?
Njoo tu shemeji wangu, mbona mie nakufiliiiii !!!Kuna ndugu yangu bwana alipata matatizo wakati wa kujifungua akafariki akaacha kichanga.na wenzake wawili.
Watoto wanapata shida sana napata stress sana .natamani nimtongoze shemela kwa ajili ya watoto Ila simfiili kabisa sio flavour zangu.