Sijui nina tatizo gani.......

GodFather

Member
Oct 31, 2008
40
12
SIJUI KAMA KUNA MTU ANAWEZA NISAIDIA KWA HILI

KAMA KIAKA SABA ILIYOPITA NILIANZA KU EXPERIENCE VITU TOFAUTI HIVI

MFANO MACHO YALIKUWA YANACHEZA NA KUNIPA ISHARA FULANI HIVI..

JICHO LA CHINI KULIA INA MAANA KUNA MSIBA HIVI AU KUIBIWA..

JICHO LA JUU KULIA INA MAANA KUNA PESA NTAPATA

JICHO LA JUU KUSHOTO KUNA FURAHA INAKUJA...

JICHO LA CHINI KUSHOTO KUNA HUZUNI INAKUJA etc etc...

pamoja na hayo nimekuwa nikiota ndoto fulani hivi kama
ishara ya mambo fulani hivi.....
na most of times yanatokea.....

mengine mazuri,mengine mabaya....

tatizo nimekuwa mtu ambaye kama siko normal.....hivi...

nakosa furaha inapotokea macho yananicheza kama vile kuna msiba unakuja....

kingine huwa najua ukweli hata uliofichika..
mfano msichana aki cheat huwa najua.
yaani naweza jua mtu anaponidanganya,hata kama sina ushahidi....

tatizo ni kuwa siko normal kwa ajili hiyo....
na kwetu hakuna mtu mwingine mwenye tatizo hilo....

na hakuna asili ya uganga wa kienyeji wala kitu kama hiko......

kingine pia huwa nina weza kuwajua watu wachawi au washirikina hata kwa macho tu....

kwa ufupi nakosa raha.....

sijui hii ni nini maana yake?????????
 
Dalili za kwanza za kuwa kichaa hizo, kamwone daktari haraka sana. Au malaria imepanda kichwani. :sick:
 
Hizo ni dalili za upofu na ukichezwa na makalio ujue utafanyiwa mchezo mbaya ukizima gari kwenye pombe.Take care:A S tongue:
 
Back
Top Bottom