usy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2019
- 209
- 164
Salam wakuu..! Mimi ni kijana wa Kitanzania,, miaka minne nyuma nilikua naona future yangu itakua nzur lakin kila kitu kilikuja badilika pale nilipo hitimu kitado cha sita...
Mwanzo nilikua na ndoto za kuja kusoma course yoyote ya afya, nilipomaliza kidato cha sitak nilifaulu vizuri (distinction G.P.A 4.0)... hapa ndo kila kitu kiliharibika baada ya kuchagua kujiunga course iliyoanzishwa kisiasa ( Mafuta na gesi), nilijiunga Udsm nikasoma kwa bidii hata baada ya kuona kua nimepotea nj. Nashukur niligraduate na matokeo mazuri sana ila baada ya kurud mtaani nikakuta yote hayo ni ilikua napoteza muda na nguvu tuu ...
Nimebaki huku mtaani na vyeti vyangu tuu makampuni yote ya mafuta wanasoma tuu barua zangu na kuzitupa kama taka nyingine..
Sina thamani yoyote mtaani nakula kile mama anachopika naomba hadi vocha, mtaji wa kufanya biashara sina na kila ninapojaribu kuomba kufanya kazi hata kwa elfu 50 kwa mwezi nakosa..
Wadogo zangu mtakao enda chuo mwaka huu jiepusheni sana na hizo course za kisiasa ambazo ujuzi utakao upata hautakusaidia kwa chochote na mbaya zaid huwez kuutumia kujiajir..
Namchukia aliyeanzisha hizo course lakin mbaya zaidi najichukia mwenyewe kwa kuingia kwenye huu mtego... msiponiona Jf basi niwatakie kila LA kheri katika maisha yenu kwani mawazo yanayonijia kichwani mwangu ni mengi sana..
N.B nipo serious, sitanii hata kidogo..