Sijui Nimtafune?

Mbona unanifanya naangalia nyuzi mpya za love connect mara kwa mara mkuu, ebu fanya mpango unitumie pm.
 
Kama simu yako haina option ya kublock namba basi download application!
 
Kuwa smart kijana,
umemsaidia kajua una uwezo wa kumsaidia hiyo shida yake hivyo anataka akunase vizuri kwa kukulambisha sukari kisha utamtatulia tu matatizo yake utake usitake!
Gonga kisha utakupa list ya shida zake umtatulie, na hizo shida zinatatulika kwa pesa!
 
Mkuu....
Ebu naomba namba yake tafadhali...

Maana mie nimevitiwa na aina ya usumbufu wake...
 
Jiandae na kupokea ngoma. Hivi mkulu alisema mvua miaka mingapi vile!30 eti eh!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…