Sijui nimshtue

Sijui nimshtue

pakaywatek

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
4,710
Reaction score
6,372
Kuna sms za whatsap za mpenzi wangu zinaingia kwangu sijui ajui ni kama anakosea kutuma anazotuma zinaingia kwangu, sijui nimshtue.
 
Nyamaza tu kizikosa kwenye simu yake atazitafuta zimeenda wapi.
 
Mwenye kaakili kiduchu cha ziada amuongezee mleta mada tafadhali.
 
Hahaa!! pole ndugu,nahisi roho yako hapo ilipo ina majeraha ya kutosha!!
 
Kwani zina madhara yoyote?!

Maana zingekuwa za majanga uzi usingekuwa wa namna hii.
 
Soma alama za nyakati, umetafuniwa hata kumeza huwezi lol
kazi kwelikweli
 
Kama unaweza kustahimili maumivu..acha na utafute mdogo mdogo kwenye sim yake huwa zinaendaga wap!!bt kama hutaki maumivu mstue haraka
 
Back
Top Bottom