Young Tanzanian
JF-Expert Member
- Mar 10, 2012
- 1,736
- 293
nazani huyu dada hayupo sawa kichwani cz akili tmamu awez kuweka iki alichocoment kwenye thrd anacheza na mawazo yetu...
kama kilitoka wizarani hakitakuwa fake ila kukamatwa sahau hii nchi ishauzwa kila kitu shaghalabaghala.......
hivi unajua vyei vingi sana vinabaki NECTA bila kuchukuliwa na wenyewe?? ni rahisi sana kuvipata na kuchongesha cheti cha kuzaliwa kinachoendana na jina la cheti..mbona watu wengi sana wameshapata hivi vyeti tena toka pale BAMAGA barazani na wanafanyia kazi tuuUnamdanganya mwenzio. Kukamatwa inawezekana tena ni rahisi mno kuliko unavyofukiria. Au umesahau wale waliokamatwa na mamlaka ya vitambulisho vya taifa???!!
Stori iko kama hivi:
Cheti kina serial number, index number, jina na mwaka.
Hivyo vingine unaweza ukajitahid ukafoji na usikamatwe. Ila ishu iko ktk serial number. Kwa mfano, mwaka 2011 serial number zimeanzia 2222 na kuishia 3333. Kwa hiyo cheti chochote kitakachokuwa nnje ya namba hizo, hicho ni feki. Yaani ukipewa cheti namba 2221 au 3334 kwa mwaka 2011, hicho ni feki. Ila cheti hiki cha namba 3334 kinaweza kuwa orijino kwa mwaka 2012. Tatizo litakuja ktk majina ya mwanafunzi, jinsia na masomo/combinations husika.
So, serikali kupitia necta haijahamua kukamata vyeti feki, ikiamua ni rahis sana.
hivi unajua vyei vingi sana vinabaki NECTA bila kuchukuliwa na wenyewe?? ni rahisi sana kuvipata na kuchongesha cheti cha kuzaliwa kinachoendana na jina la cheti..mbona watu wengi sana wameshapata hivi vyeti tena toka pale BAMAGA barazani na wanafanyia kazi tuu
mkuu hivi unaishi tanzania hii ya kwetu tunayoishi sisi au uko masaki??Siku hizi nako kuchonga cheti cha kuzaliwa nako ni kugumu, kwani rita wako makini!
Huyo dogo kama alifanya mtihani ina maana jina,index no. na matokeo yake ya awali yatakuwa kwenye data base ya NECTA hao waliomfojia cheti wanaweza kuwa wame2mia jina na index no yake ila matokeo sio yale yaliyoko NECTA au kama hawaku2mia jina na index no yake ndo mbaya zaidi point yangu ni kuwa alichofanya ni hatari wakiamua kufuatilia watamkamata tu akitaka kujua kama kaliwa aingie kwenye web ya NECTA aingize index no na mwaka alofanyia mtihani kama atakuta matokeo ya zamani au hayo alouziwa umekurupuka dogo hata ukipona sasa hv ipo cku watakushika hilo bom any time litaripuka
Kama huogopi imekuwaje umeleta umbea wako hapa, kitupe hicho cheti then urudi kwenu basi.siogopi sababu hakuna anaenijua wala hili jina si langu
Ndugu wana JF mimi ni msichana nimemaliza form four mwaka 2005 nikafel vibaya sana nimekaaa kwa mda mrefu nyumbani mwaka jana kuna mtu akanishauri ninunue cheti cha form four kutoka wizarani kwa sh laki 5, nikafanya hivyo nikapata cheti chenye three ya 25 ila ambacho hakina credit nikaomba chuo cha CO yaani clinical officer hapa machame moshi sasa mwezi wa kwanza wakachukua vyeti kwa ajil ya kuvikagua kama ni orginal, vimerudishwa juzi na sijafukuzwa sasa sjui hawajagundua au watakuja kunifukuza baadae mpaka sasa sielewi
happy amos tena bora ungekaa kimya kuna mama mkwe wangu namletaga hapo nikija ntaongea na mratibu haiwezekani mtu una cheti feki still unaruhusiwa kufanyia majaribio kwa binadamu,hold tight im on my way:A S-baby:
Ndugu wana JF mimi ni msichana nimemaliza form four mwaka 2005 nikafel vibaya sana nimekaaa kwa mda mrefu nyumbani mwaka jana kuna mtu akanishauri ninunue cheti cha form four kutoka wizarani kwa sh laki 5, nikafanya hivyo nikapata cheti chenye three ya 25 ila ambacho hakina credit nikaomba chuo cha CO yaani clinical officer hapa machame moshi sasa mwezi wa kwanza wakachukua vyeti kwa ajil ya kuvikagua kama ni orginal, vimerudishwa juzi na sijafukuzwa sasa sjui hawajagundua au watakuja kunifukuza baadae mpaka sasa sielewi
jaman nimefikiria ndo maana nikaandkika sijakurupuka maisha ni popote lazima niandike coz sijaanza mimi ndo nauliza watakuja kunifatilia baadae au ndo imetoka
sijatumia langu arafu kaka haya ni maisha jaman yapokua magum tunatafuta maisha kwa njia yoyote ni bora mimi kuliko anaeua kwa ajil ya kutafuta maisha jaman
Wewe mwehu mwizi unaleta utani na elimu yako ya kuunga unga leo unajitangaza
unachosema ni kweli, tulianza mbali, kuvisha majoho watoto wanao hitimu chekechea, tukagawiana udaktari, tunanunua digree online, mtu anasema, nipe $1500, nitakupa masters, $3200 phd. tunajiona wajanjaRadi ikipiga na ukafanikiwa kuona mwanga ule mkali ujue umenusurika.
Nchi imekamatwa na watu wa aina yako ndyo walioko madarakanai.
Mfano: Wangapi wanajiita MaDr bila kwenda Chuo?
Wangapi wanatumia majina yasio yao na sasa ni wabunge?????
Wangapi wanajiita wakandarasi wako wanakula Tenda za barabara bila kwenda skuli?
Wangapi??
Shortly Mwizi hawezi kukamata Mwizi