Sijui nikamle au nimuache

sinza kuna dada alikua anakula mchongo na wafiraji anajilengesha kwako kama ivo mkifika ghetto mkivua nguo tu zinaibuka njemba zinadai zimekufumania na mke wao wanakubandua, kuna mwamba mmoja aliponea chupuchupu baada ya huyo dada kugundua huyo mshkaji ni kaka wa rafiki yake, dada akamchana acha kupenda maisha ya mteremko utafirwa mdogo wangu vaa fasta utoke, ile jamaa anatoka akakutana na njemba kwenye korido za gesti zikamtolea macho ile kiroho mbaya.
 
Kamwe usikubali kwenda zizi la jike lazima yatatokea ya kukudhalilish tu, mwanaume ndo unapanga uwanja na unamleta kimagendo yani mkishafika smu off
 
Kwa hiyo huu ni mchongo sio
 
Kamwe usikubali kwenda zizi la jike lazima yatatokea ya kukudhalilish tu, mwanaume ndo unapanga uwanja na unamleta kimagendo yani mkishafika smu off
Pengine anataka niwe mme wake si unajua wengine singooo mazaa
 
Tupe mrejesho je, ulienda? Na kama ulienda je, ulikanyaga? Na ka hukukanyaga kwa nini? Na kama ulikanyaga ilikuwaje? Au kama hukuenda kwa nini?
 
Tupe mrejesho je, ulienda? Na kama ulienda je, ulikanyaga? Na ka hukukanyaga kwa nini? Na kama ulikanyaga ilikuwaje? Au kama hukuenda kwa nini?
Mkuu nilienda ngoja niweke mrejesho hapo juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…