Sijui niite bahati au nini hii?

Japo watu wanaleta mikasa na madhara ya kutembea na mke wa mtu bado kuna watu hawasikii wala kuambiwa chochote juu ya Mbususu hizo.Sikio la kufa.
 
Japo watu wanaleta mikasa na madhara ya kutembea na mke wa mtu bado kuna watu hawasikii wala kuambiwa chochote juu ya Mbususu hizo.Sikio la kufa.
Hahahha hahah kweli kaka bususu tamu
 
Akikufia umo geton mwako unayo maelezo ya kutosha ya kuwaisaidia polisi?
 
anakamata boda ajeeee hata chakula nimuwekeee wadau nifanyajeee niko njia pandaaa
Mpaka siku jamaa akikudavira akakupaka wese ndio utaelewa mke wa mtu ni sumu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…