aggregates
Member
- May 9, 2013
- 97
- 21
Nashukuru sana kwa ushauri wakohata mimi yashanikuta hayo fanya hivi..usikae pekee yako tafuta njia ya kutoa upweke shinda sana fb na social network tafuta mpenzi na tumia mda mwing kua nae
Kwa vile bado hujapata ajira hebu wekeza kwenye gamilia yako. Fanya usafi, toa mapazia hapo kwenu uyafue. Kama kuna mivyombo kabatini haijawahi yumika toa yote na kuosha. Safisha madirisha na futa vumbi kila mahali. Tafuta kitabu usome. Ingia mtandaoni usome nafasi za kazi, nafasi za masomo, na vitabu. Yaani kutoajiriwa hakukuzuii kuwa busy.
Hapo ukishawaimpress home watakuletea na magazeti daily. Yatapita hayo afu utakuja kujishangaa ulizuzuka na nini kwanza![/QUOTE
Nashukuru kwa ushauri wako
Nashukuru sana sema siku ya kusahau aya mambo sitoamini^^
Usifanye chochote,,ni mapito ya maisha tu.
Ndio maana tuliumbiwa kusahau
^^
Sababu inaweza kwamba umbali ulichangia sababu alianza matatizo toka chuo kipindi cha mitihani nikaja kukutana nae dar tupo wote nikawa nahisi anaongea na mwanamke nikamuuliza km ana mwnmke mwngne akagoma lakini bada ya kupita cku mbili akaniambia ni kweli ana mdada mwngne bada ya kutoelewana mimi na yeye akaniomba msamaha lkn nikakataa hii ni kutokana kwamba uyo dada wanaishi nae uko uko nikaona ata nikimsamehe atanidanganyaMliachana kwa sabu gani ilikuwaje?jibu then tukupe ushauri mzuri
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
mimi ni msichana nahitaji sana ushauri wenu wa kunijenga mana nina hali mbaya
shinda sana fb na social network tafuta mpenzi na tumia mda mwing kua nae