jamani mm nimekuwa nikipata shida sana kila nikipita maana madem weamekuwa wa kinifata thana na wengine wamekuwa wakija home daily ...........na mm nina dem wang nina mpenda sana ila wote wanao kuja home niwakali kinoma saa sijui ni fanye nn¿
Sidhani kama we ni gentleman
Mwanaume wa kweli hawezi kuja kilalama mambo ya kike humu!
Unaongea kikike hata hao wanaokufuata watakuwa ni mahousegirl kama ni kweli!
Be a gentleman ongea ukiwa umekaza sauti!