....cha ajabu na chakushangaza nikiomba game anatoa bila wasi..sifaham ni hali gani imemkuta.
Kwa kuwa mnafanya uasherati na huyo mwanamke wala isikuume akiwagawia na wengine maana nao pia utaitwa ni uasherati...
Halafu kijana siku nyingine ukiamua kutuandikia habari zako huku tafadhali usiandike wakati upo sehemu yenye baridi kali ambapo mikono inakuwa yakutetema kama gari linalokata wese...
Mwandiko hata haueleweki

hapana mana nshampeleka hosp.yuko powa kchwa knauma sana
naombeni ushauri marafiki zangu ndan ya jm
ninampenz wangu ambaye mwanzoni tulipendana sana .nilikuwa namtoa na kumpa kile akipendacho.nipo nae kwa mda wa mwaka na nusu sasa.hakika nampenda sana #na
yapata miez ya hv karibuni ameanza kusumbua mara hapatikani mara ucku anatumika sa 5-7 .amekuwa abnormal .nime mweleza x kwa x .huiniadi kubadilika.cha ajabu na chakushangaza nikiomba game anatoa bila wasi..sifaham ni hali gani imemkuta.nimepeleleza kwa rafk zake wana xma hana dume jngne.knachoumiza kichwa nmesha mleta had kwa bi mkubwa
Nafaham penye weng kuna mengi.nahta ushauri wenu nifanyeje?
Mm ni male

Kuna mpenzi wangu ambaye nampenda sana ambaye nina kama mwaka1 hivi nipo nae anatabia poa tu lakini hivi karibuni kama 3week nikimpigia simu kama sa 5-6 nambiwa inatumika.
Then nikipiga zaid inakuwa haipatikani nikawa mpole kusuluisha yakaisha sasa tangu hapo anipigii simu hadi nimpigie, anitumii text had nimtumie.
Nahitaji ushari wenu nimfanye nini, nitumie njia gani naitaj furaha katika pendo langu.
hasara za kumpenda mwanafunzi&faida zake?
Dogo hujaenda kuripoti shule tu...?
sawa bro amani itawale.samahan.ila ungepita 2
Hivi vitoto vinasumbua kweli humu, kinaparamia mapenzi halafu vikishaumizwa huko haraka sana vyaja hapa kufungua tu sredi zisizo na idadi...
Sasa hebu vikiria mvulana kama huyu ampe binti mimba, sijui hata kama anajua majukumu yake ni yapi!!!