Elections 2010 Sijui niende uwanja wa uhuru leo!!

cesc

Senior Member
Nov 25, 2008
156
3
inabidi uende tu uwanjani au ucheki ktk tv au usikilize redion...ni rais wetu wote ni rais wako mpaka oct 2015 upende usipende....habari ndio hiii.....si unajua ule msemo wa kingereza usemao"if u cant beat them then....JOIN THEM...SO U SHOULD JOIN CCM
 

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,980
9,547
Kuwa rais wetu tumekubali kwa kuwa hatuna ujanja, pamoja na kuwa amechakachua kura, ila kushiriki kuapishwa nikukubali matokeo ya kura zake. Ni rais wa kila mtanzania pamoja na Dr. SLAA.
 

Mtu wa Pwani

JF-Expert Member
Dec 26, 2006
4,180
659
chadema wale nyembe mkwere ndio keshaapishwa na anakua Rais wetu kwa kipindi cha pili hadi 2015 ikiwa halijatokea lolote kwa mujibu wa katiba na mungu amuepushie
 

WAKIJIJI

Member
Sep 14, 2010
63
33
Kuwa rais wetu tumekubali kwa kuwa hatuna ujanja, pamoja na kuwa amechakachua kura, ila kushiriki kuapishwa nikukubali matokeo ya kura zake. Ni rais wa kila mtanzania pamoja na Dr. SLAA.[/QUOTE]Ni kweli na kuanzia sasa Slaa anatakiwa awe na adabu anapotaja jina la Rais wake. Aongee kwa unyenyekevu akijua anataja jina la rais wake DR JAKAYA MRISHO KIKWETE.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom