hill and portion
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 1,236
- 744
mweh! endelea tu kukaa hivyo hivyo mwaya bikra yako irudi.....
mhhh kumbe kukaa mda mref bila kufanya ngono bikra inarudi duuuuuu
Mke wangu ameshatangulia anakungoja wewe changudoa mwenzie.....mkazichange....Mpeleke mkeo kwnz barabaran,
HODII,mm ni msichana mwenye umri wa miaka kadhaa,yan umri wangu unaruhusu kuolewa, nliwahi kuumizwa na mapenz kiasi kwamba sikuwaza kama ntakuja kutaman kuolewa,miaka kadhaa imepita karibu minne sijafanya ngono,sasa nimechoka,nataman mwenza angalau na mm nipate mfariji, sasa nimepata boyfriend hajajitambulisha home siwez kumuita mchumba, tatizo huyu kaka hanijali hata kidogo niliwah kupata tatizo nkamuomba elfu 5 tu ya kitanzania yan alinifokea kama mtoto mdogo eti mm napenda pesa, sasa nkamchoka, nimepata mwingine bado hatujazoeana, sielew km na yeye mbahili au vp, je ni sahihi kumuacha yule wa kwanza na kuwa na huyu mpya au nimefuata matatizo zaid? naomben ushauri
Mke wangu ameshatangulia anakungoja wewe changudoa mwenzie.....mkazichange....
asanteNampa big up huyo jamaa. Baadhi yenu hamfai hata kwa dawa.
Nimewahi kushuhudia mdada akipiga simu kwa wanaume watano. Huku kila mmoja akiitwa 'asali' na kuombwa 40K. Wawili walichomoa straight away, watatu walim- m-pesa straight away. Akaondoka na kibubu cha 100K bila jasho. Wadada wa kitaa waangalie tu..
Muombe sana mungu,ila kabla hujaolewa jitahidi kwa njia ya mazungumzo umjue anaekuoa ni mtu mwenye mtazamo gani
Achana nae hamna kitu hapo
Mapenzi haya shauriki dada cha muhimu kuwa makini familia yako bado hinakuhitaji .kuna ngwengwewee
Njoo kwangu hata ukiomba milioni namwaga, wananiita young bilionea huku kitaa. Usitake shida mtoto mzuri kama wewe
HODII,mimi ni msichana mwenye umri wa miaka kadhaa,yaani umri wangu unaruhusu kuolewa, niliwahi kuumizwa na mapenzi kiasi kwamba sikuwaza kama nitakuja kutamani kuolewa.
Miaka kadhaa imepita karibu minne sijafanya ngono, sasa nimechoka, natamani mwenza angalau na mimi nipate mfariji, sasa nimepata boyfriend hajajitambulisha home siwezi kumuita mchumba.
Tatizo huyu kaka hanijali hata kidogo niliwahi kupata tatizo nikamuomba elfu 5 tu ya kitanzania yaani alinifokea kama mtoto mdogo eti mimi napenda pesa, sasa nikamchoka.
Nimepata mwingine bado hatujazoeana, sielewi kama na yeye mbahili au vp, je ni sahihi kumuacha yule wa kwanza na kuwa na huyu mpya au nimefuata matatizo zaidi?
Naombeni ushauri
Machangudoa bwana....wakali kweli kweli......Umesahau kuwa na ww ni shoga mnaotafuta wote na mkeo,unawashwa eeh,
Kweli machangudoa wana mbinu nyingi sana.....inawezekana huyu ni mmoja wao......MIZINGA STYLE......Nampa big up huyo jamaa. Baadhi yenu hamfai hata kwa dawa.
Nimewahi kushuhudia mdada akipiga simu kwa wanaume watano. Huku kila mmoja akiitwa 'asali' na kuombwa 40K. Wawili walichomoa straight away, watatu walim- m-pesa straight away. Akaondoka na kibubu cha 100K bila jasho. Wadada wa kitaa waangalie tu..