Sijui nianzie wapi?

Jifunze kusamehe ndugu lasivyo watoto watapata shida
 
ni kweli kiongozi, changamoto ni kubwa sana ila nisamehe unyama huu niliofanyiwa hakika mungu atakua karibu kurudi. sio rahisi mkuu
 
ni ngumu sana, hebu fikiria niliachwa na huyo mtoto wa miezi tisa. ili bidi niombe ruhusa kazini ili nianze kulea hawa watoto. inauma sana

Chaguo ni lako kaka... dunia ya leo upate mwanamke akulee

watoto watatu kama wa kwake ni shidaa.... Kulea mtoto asio wako ni kipaji kaka

ila kila la kheri kwenye maamuzi yako.
 
Msameheme tu!!! ivi we umekua muaminifu kwenye hio ndoa???? au ya kwako umeweza kufanya siri????
 
asante kiongozi
 
asante sana, ila shida inakua nini? ningejua kafanya uchafu huu kwa mtu mmoja ningejitahidi kufumba macho ila nizaidi ya watu 3 niliodhibitisha. inakua ngumu kusamehe kirahisi hivi

Najua huwezi kusamehe kirahisi na hii ni kutokana na maumivu uliyonayo..... Pole sana mkuu ili usahau inakubidi usamehe maisha yaendelee najua uko na uchungu na hasira mungu ni mwema
 
Chaguo ni lako kaka... dunia ya leo upate mwanamke akulee

watoto watatu kama wa kwake ni shidaa.... Kulea mtoto asio wako ni kipaji kaka

ila kila la kheri kwenye maamuzi yako.
asante , na hilo ndo hasa linanipa changamoto kubwa, nawapenda sana watoto wangu ila namchukia sana mama yao
 
hapana , nipo naye mimi. kwa hari ilivyokua haikua rahisi hata kumuacha huyo mtoto kwa mama yake kwani kulikua na kila dalili ya murder.

Mungu wangu unamleaje mtoto wa miezi 9 jaman daaa hii tabu sasa kwani hapo nyumbani kuna dada anayekusaidieni kazi au inakuaje daaaa nimeumia kwa kweli mi nikajua yuko na mama
 
pole sana kaka. Najaribu kujivika uhusika wako nakosa jibu zaidi ya kumsamehe. Watoto watatu ni wengi sana na ni vigumu kumpata mwanamke anayeweza kuwalea hao watoto wako watatu.
Hasa ukiangalia mioyo ya wanawake wetu hawa.
Nakushauri mrudishe tu huyo mama its better ukaishi naye kwa lengo la kuwapa aman watoto, bora kabisa alale kitanda chake lakin sio kuwatesa watoto..

Simama imara kaka ukiachana naye utawatesa watoto bure
 
asante , na hilo ndo hasa linanipa changamoto kubwa, nawapenda sana watoto wangu ila namchukia sana mama yao
Mkuu, M/Mungu kakupenda sana ndiyo kakupa second golden chance uchukuwe Mwanamke mpya aliyokuchagulia yeye !!
kwani huyo wa kwanza ni nuusu shetwani....tena umemvumiliya sana !! Sara jirushe na Mwema mmoja muishi na watoto kwa uangalifu chukuwa hatua zote "As a father and as loving husband" Wewe siyo wakwanza au wa mwisho kuoa second wife.. wapo maBinti wengi wanasubiri mkono wako !!

Lingine mKUU, JUST MFUTE 'X' wako na umsahau ....Life goes on !! ubarikiwe na uwakuze wanao.
 
asante sana, ila shida inakua nini? ningejua kafanya uchafu huu kwa mtu mmoja ningejitahidi kufumba macho ila nizaidi ya watu 3 niliodhibitisha. inakua ngumu kusamehe kirahisi hivi

dah! Mungu akutie nguvu
 
asante , na hilo ndo hasa linanipa changamoto kubwa, nawapenda sana watoto wangu ila namchukia sana mama yao
Mkuu, M/Mungu kakupenda sana ndiyo kakupa second golden chance uchukuwe Mwanamke mpya aliyokuchagulia yeye !!
kwani huyo wa kwanza ni nuusu shetwani....tena umemvumiliya sana !! Sara jirushe na Mwema mmoja muishi na watoto kwa uangalifu chukuwa hatua zote "As a father and as loving husband" Wewe siyo wakwanza au wa mwisho kuoa second wife.. wapo maBinti wengi wanasubiri mkono wako !!

Lingine mKUU, JUST MFUTE 'X' wako na umsahau ....Life goes on !! ubarikiwe na uwakuze wanao.
 
samahani lakini kwa kuuliza hili swali......

mfano mama yao angekuwa amekufa ingekuwaje.....hawa watoto angewafanyaje....?
 
unakaribisha maisha mabaya kwa damu yako naomba nikuulize mpk umeanza maisha ulionja uchungu wa kutoishi baba na mama???

wanawake wenyewe hawa wa take away

sizan kama ww mwenyewe pia hujawah kucheat even if uliomcheat hakuwa mke wako

nasimama kama mdogo wako rudisha moyo nyuma msamehe tu kuliko kuwa na panya road

sizan kama ulimuuliza kama kwann anakusaliti u nvr knw labda humfikishi japo mnafanya kila siku

mrudishe kwa maisha ya wanao
 
mkuu shetani akizeeka anakuwa malaika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…