Sijui nianzie wapi?

Mpe mwaka mmoja wa kuwa kwao,halafu endelea na uchunguzi (yaani unda kamati ya uchunguzi) kama atakuwa anaendelea kufanya hayo madudu bac itabidi ufanye uamzi mgumu,ila kama atakuwa amejirekebisha na ww umejiridhisha na uchunguzi wako basi msamehe bure,maana atakuwa amejifunza.
 
Wewe kwani hujawahi kucheat???????,hebu msamehe mke wako huko coz na wewe pia am sure sio mwaminifu,ni vile tu hujafumaniwa.
 
Ushauri wangu kwako,Msamehe mkeo kwani amekiri kosa,hakuna mwanamke utakaemuoa akalea hao watoto watatu kwa upendo kabisa na kwa moyo wote,pia kumbuka hata wew ni mkosefu pia kwa mkeo ila mke wako hakupata nafasi ya kugundua makosa yako,hvo jifunze kusamehe na kusahau ili uishi kwa amani na furaha,na siku zote tambua kua "Hakuna mkamilifu katika dunia,sisi sote ni wakosefu"unaweza ukaoa tena bt huyo utakaemuoa anaweza kuwa na mapungufu zaidi ya yule wa kwanza,Msamehe mkeo na mrudishe nyumbani maisha yasonge mbele.
 

Hiyo number 2. Kwa kuzingatia tabia ya mkeo uliyoelezea hao watoto unaowapenda Biologically ni wa kwako ?
 

Kaka yangu wanawake ndo walewale tu unaweza kuoa mwingine akawa mshenzi kuliko Mkeo mi nadhan msamehe mkeo mrudishe home alee watoto ila kikubwa kapime DNA na watoto wako upate uhalali wa watoto na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…