Sijui nianzie wapi?

Amini maneno yangu msamehe kwa roho nyeupe Haji rudia Tena. Mimi yalinikuta yako na tulikuwa na watoto wawili.
kabla ya kumsamehe ulifanya/ulipitia hatua gani kiongozi? kwangu mimi hari niliyonayo sio nzuri hata kidogo, imagine hata tu nikiona simu yake inaingia natamani kuitupa chini, nimemchukia kuliko maelezo. kama kweli una mwanamke anayeweza kuwakimbia wanae unadhani kukua wewe ni ngumu? umelifikililia hilo mkuu?
 
Huko kwenye kuua ni mbali sana, wala usifike huko.

Swala la mkeo kuacha watoto kunamfanya awe mtu ambae ni irresponsible, selfish na asiyejali watoto wake lakini sio muuaji. Hiyo chuki uliyonayo juu yake fanya uiondoe maana ni kama sumu mwilini, moyoni na akilini mwako. Inakuumiza wewe na sio mkeo.

Tena na hivi hayuko karibu, hulazimiki kumuona mara kwa mara ni rahisi sana.
# 1 Jiondolee ile hali ya unyonge na kujiona umeonewa.
#2 Jithamini, una haki ya kupendwa na kujipenda. Usikubali madudu ya mtu mwingine yakuache ukijiona huna thamani.
#3 Acha kulaumu.
#4 Jiamini. Usijione kwamba una mapungufu na ndio maana aka-cheat mara 3, mapungufu yake ndo yaliyompeleka huko.
#5 Be happy. Una watoto na unasema unawapenda sana. Take that as an advantage. Tumia muda mwingi pamoja nao, cheza, cheka na ufurahi pamoja nao. Lisaa limoja utakalopata furaha ya kweli toka kwao itadumu kwa masaa mengi mbele.
#6 Kuwa na shukrani. Ndio mke wako kakutenda, lakini hao watoto unaowapenda sana umezaa na nani?!YEYE. Shukuru kwamba atleast umebaki na kitu kizuri maishani mwako.
#7 Jiweke karibu na watu unaoamini ni watu wazuri, watu wenye roho nzuri iwe ni marafiki au ndugu. Hii itakufanya ukumbuke kwamba sio kila mtu ni mbaya. Upendo wao kwako na wako kwao utasaidia kuyeyusha chuki uliyonayo juu ya mkeo.
#7 Kama unajiona ulikosea mahali mpaka mkafika hapo mlipofikia JISAMEHE.
#8 Punguza kuhadithia/kuongelea hili swala kila wakati, hiyo itakusaidia kupunguza hasira na machungu pia. Hata watu wakikukumbushia/wakitaka uwaelezee ilikuwakuwaje wambie yameshapita kisha ubadili story.
#9 Epuka kumuongelea mke wako ubaya zaidi. Kwa mfano ukiona una haja ya kumuongelea labda kwa watoto au rafiki kumbuka kitu kizuri alichowahi kukufanyia ama kinachofurahisha/chekesha ukiongelee hicho.
 
thanks sana
 
Last night I had a nightmare.....me&u were.......

Kuchukuchukuchuu....fukufukufuku....jigijigijigijigi.....mwishowe fokofokofokofoooooo....
Nilikuwa napita tu nyuma ya dirisha....
 
Daah hii story nimesoma imenisikitisha, ila huyo mwanamke nje alikuwa anafata nini? Hela ama good sex? Huyo mwanamke braza hakufai kabisa, usijiulize mara mbili fanya maamuzi magumu. Ila inaonekana ulifanya kosa mwanzoni wakati wa ndoa, uliona mwanamke anafit vigezo vyako na yeye akaona uko well off a.k.a jackpot akakukubali na siamini kama alikubali kuolewa out of love.
Next usifanye kosa hilo tena fanya chaguzi sahihi
 

Asante kiongozi
 
Msamehe mkuu kuna kitu atakuwa amejifunza kitu
 
Duh...ndoa hizi? Wewe hujawahi kumcheat?
 
Inasikitisha sana. Usikute hao hawala zake wamemutupa baada ya soo hili.
 

Very simple,
Mimi wakwangu nililetewa getini tena nikiwa kazini. Na wakati naletewa walikua wanamiaka miwili umri na walikua mapacha. Nilichofanya niliamua kumtafuta msaidizi na nilichofanya nilimlipa mshahara wa 100,000. Na hapo ilikua mwaka 2006. Walipo fikisha umri wa miaka 6 nikawatupia boarding, na pale shuleni nilichokifanya ni kumtafuta mwl wa kike na asie na watoto nikawa nampatia kiasi cha 50,000 kila mwezi kwaajili ya kuanunulia matunda kila Saturday and Sunday.
Wanangu wamekua na wanaishi maisha ya raha kabisa na nilichokifanya ni kuhakikisha Mwalim yule nampa motisha kila mwezi na vizawadi vya hapa na pale
 
msamehe hata rudia tena tena mi nn
a mfano hai kabisa watoto wanahitaji malezi ya wazazi wote wawili ila muweke chini ns muweke mikakati na mkubaliane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…