Sijui ni ushamba au ni nini?

Sababu inaonekana unakimbia sehemu za matumizi
Si kila anaefanya hayo ana pesa, ni mpangilio tu wa maisha alioamua kuufuata mtu. Na ndio sababu wengi utawasikia wakilalamika kuwa wamefulia baada ya sikukuu, sherehe ya birthday au kukesha Club.
 
In short umezaliwa na hormones nyingi kupitiliza za unoko! Tafadhali sana, naomba Ualimu isiwe career yako manake si kwa unoko huo!
 
Hayo mambo hayana starehe! Ni utumwa flani hivi ambao wanaotumikishwa hawajui kama wapo utumwani.Hongera kwa kuwa huru.
Halafu unakuta mtu mishipa ya shingo imemtoka anafuatilia matamasha ya muziki, kila sehemu anataka aende. Na akishindwa kwenda, atakavyougua sasa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom