Sijui ni udomo zege......

Sijui ni udomo zege......

Joined
Oct 23, 2012
Posts
6
Reaction score
2
Jamaa fulani alimuita dem bar kiroho safi dem akaitikia wito alipofka akamuuliza "umeniita hapa ila sijui una shida gani" jamaa nae akamjibu "nataka kukutongoza ila nasubiri mpaka ulewe" ......ha ha ha ha ha ha ha ha je umeipenda???....
 
bruuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuututututututututututututututuuuuuuupyuuuuuuuuuuuuuu
 
Hiyo nzuri babu, jamaa ni muwazi sna wote 2ngekuwa wawazi ivo dunia ingekuwa sehemu salama ya kuishi, teh teh teh teh,.!
 
Tuko wengi wa hivyo
mura
Jamaa fulani alimuita dem bar kiroho safi dem akaitikia wito alipofka akamuuliza "umeniita hapa ila sijui una shida gani" jamaa nae akamjibu "nataka kukutongoza ila nasubiri mpaka ulewe" ......ha ha ha ha ha ha ha ha je umeipenda???....
 
Ha ha haaaa jamani kwa kweli kutongoza ni kazi sana ila mie ningekuwa mkaka ningewapata sana wadada maana nina mbinu nazijua za kuweza kuwatongoza wakaingia line ila ndo hivyo nimebarikiwa kuwa mdada.... Amen
 
Share with us Miss CDM.Bado tupo wengi kwenye tabaka hilo
 
Ha ha haaaa jamani kwa kweli kutongoza ni kazi sana ila mie ningekuwa mkaka ningewapata sana wadada maana nina mbinu nazijua za kuweza kuwatongoza wakaingia line ila ndo hivyo nimebarikiwa kuwa mdada.... Amen

MISS CDM...eleza hizo mbinu hapa ili tujue namna ya kupata hao wenzio pamoja na wewe mwenyewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom