Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,316
Si ajabu hapo anajiona kavaa buletipurufu hahhahahahahahMmea huo
Hahahaaaaa acha tu mkuu yaani huku kwetu kuna vituko mno. Unakuta mtu eti anafanya kituko makusudi anakuambia umpige picha halafu afurahishe jamii katika mitandao daaaaah ukija huku utachokaHivi hizi picha unazitoaga wapi wewe "mchungaji" yaani nikiona post yako lazima niichungulie fasta, hahahahahahahahha
Koromije iko wapi?Hii ibapatikana kijijini kwa akina Gwaji aka Koromije
Nielekeze jinsi ya kufika huko mkuu.Hahahaaaaa acha tu mkuu yaani huku kwetu kuna vituko mno. Unakuta mtu eti anafanya kituko makusudi anakuambia umpige picha halafu afurahishe jamii katika mitandao daaaaah ukija huku utachoka
Ukiwa Dar panda mabasi ya Dar hadi Ruvuma. Kisha unakuja wilaya ya Tunduru kijiji cha Misyaje au pia Wenje. Na pia mie huku sijaoa badoNielekeze jinsi ya kufika huko mkuu.
Kwahiyo kuna probability ya kuwa mama mchungaji?Ukiwa Dar panda mabasi ya Dar hadi Ruvuma. Kisha unakuja wilaya ya Tunduru kijiji cha Misyaje au pia Wenje. Na pia mie huku sijaoa bado
Kabisa madam alimradi uwe mvumilivu maana mara nyingi huwa nasafiri kutafuta kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. Nyumbani nimekaa sana labda siku nne kwa mwezi mzimaKwahiyo kuna probability ya kuwa mama mchungaji?
Mama mchungaji atasafiri na Baba mchungaji, kuna kondoo wengine wana vishawishi sana.Kabisa madam alimradi uwe mvumilivu maana mara nyingi huwa nasafiri kutafuta kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. Nyumbani nimekaa sana labda siku nne kwa mwezi mzima
Najiamini. Ukisema tufuatene watoto watalelewa na nani?Mama mchungaji atasafiri na Baba mchungaji, kuna kondoo wengine wama vishawishi sana.