Sijui ni huruma au ni upendo

Sijui ni huruma au ni upendo

Hakuna mwanaume wa hivyo, huyo ni cover ya kiume lakini injini na jike.

Siku hizi unakuta mother body ni mwanaume lakini ndani ni mwanamke halikadhalika unakuta nje ni mwanamke lakini ndani ni mwanaume
Kwa maoni yako kama mwanaume ndo angempa mimba mwanamke mwingine, mwanamke alitakiwa kumpiga chini?
 
Kwa maoni yako kama mwanaume ndo angempa mimba mwanamke mwingine, mwanamke alitakiwa kumpiga chini?

Ndio, siku hizi jamii ya waovu ndio maana kuna misamaha ya kiovu, thamani ya msamaha imeshuka sana kwani mtu akikosea anajua atasamehewa.
Thamani ya msamaha ni pale unajua kabisa hapa sisamehewi lakini haya ya siku hizi sio msamaha bali upumbavu tuu
 
Kile kikaa cha wanaume namba 212 kilikuwa kinasemaje kuhusu hili..
 
Hakuna mwanaume wa hivyo, huyo ni cover ya kiume lakini injini na jike.

Siku hizi unakuta mother body ni mwanaume lakini ndani ni mwanamke halikadhalika unakuta nje ni mwanamke lakini ndani ni mwanaume
Mwanaharakati wa Bikra JF 💪💪💪💪
 
Atakuwa ni MWANAUME WA DAR sis wa mikoan ....angekula kichapo ad akimbie
 
Hakuna mwanaume wa hivyo, huyo ni cover ya kiume lakini injini na jike.

Siku hizi unakuta mother body ni mwanaume lakini ndani ni mwanamke halikadhalika unakuta nje ni mwanamke lakini ndani ni mwanaume
Ko Mkuu unamaanisha kun baadhi ya warembo wanabooolo[emoji29]
 
Hakuna mwanaume wa hivyo, huyo ni cover ya kiume lakini injini na jike.

Siku hizi unakuta mother body ni mwanaume lakini ndani ni mwanamke halikadhalika unakuta nje ni mwanamke lakini ndani ni mwanaume
Wewe jamaa [emoji3][emoji3]
 
Si wanasemaga kitanda hakizai haramu.
 
Mzee Abdul Pro Max huyo[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Mimba kaipata wapi?

Kwanini kaipata ?

Mke kuwa na mazoea na mtu mwingine tofauti na mume wako na viashiria vya kutakwa kimahusiano na kuendelea kujipa moyo hamna kitakachotokea ndio zao la matatizo kama haya.

Hata kama tatizo la kukosa mtoto ni la mwanaume, kuwe na makubaliano tofauti na hapo kuishi kinyonge ni sababu za kipuuzi.
 
Poleni na majukumu wana JF

Mwanamke aliolewa Mwaka juzi ndoa ya Kanisani, hawajawahi kupata mtoto, kutokana na kuishi mikoa tofauti kwa sababu ya mazingira ya kazi Mwanamke alipata Mimba nje ya ndoa na alishajifungua tayari.

Kipindi cha ujauzito baada ya Mume kugundua mimba siyo ya kwake palitokea mgogoro mkubwa sana hadi kufikia kutengana lakini baadaye Mwanaume amekubali yaishe waendelee na maisha kama kawaida.

Wanaume wa JF mpo tayari kwa jambo kama hilo?
Inawezekana ila nategemea makubaliano yao yamejikita kwenye masharti gani,

Ila kwa upande wangu ndoa za hivi baadae huwa zinakua na migogoro sana sana, na huleta mkanganyiko mkubwa na upoteza furaha na amani ndani
 
Ila pia long distance ni ya watu fulani tu yani wateule sio kila mmoja anaweza kuishi mbali na mwenza wake
 
Back
Top Bottom