Hahahahahaha kweli Pinda kaharibu watu wake lol yaani hiii ya wapigwe tu imefika mpaka majumbani . Mimi nadhani wengi hwakuelewa lol alimaanisha maafande ndio watupige tu.Sasa kumbe..leo nimemsikia dada mmoja redio wapo anasimulia jinsi mume wake akihitaji keki ya usiku anampa na kozi -yaanai anadhani akiomba haitakuwa poa ,yaan sielewi kauli ya wapigwe tu imewaathiri ninyi majumbani kwenu kiasi gani hebu niibie kwako hata PM mwaya
Hahahahahaha kweli Pinda kaharibu watu wake lol yaani hiii ya wapigwe tu imefika mpaka majumbani . Mimi nadhani wengi hwakuelewa lol alimaanisha maafande ndio watupige tu.
Hapana hana kazi yeye huwa simlilii kabisa. Unajua inatokea unaweza kwenda ofic flani ukahitaji huduma na nikiona nazungushwa kwa kuonewa basi hapo machozi lazima yanitoke tu hata kama nacheka siwezi kujibizana. Kuna siku nilienda muhimbili nilikua na mgonjwa basi dr kanizunguusha kwa kweli humo njiani wakati narudi machoji yalitoka. Mpaka huwa naiambia nafsi kwamba sasa basi lkn......
ndo maana nikashtukia fulani hivi lakini akanituliza, lol!Mmmh twin Fixed Point movie yenye mitutu namna hiyo unaweza kuiwatch kweli. Naona BAK anataka kukufundisha mbinu za kujihami wanapokuja wale wanaoitwa siku hizi "wapigwe tu tumechoka" uweze kupambana nao.
sijafundishwa kuweka wazi silaha za maangamiziSo madam wewe ukihitaji ile kitu kwani nini viashiria? Maana hata lesbian wana miheee.....................m......ko yao
sijafundishwa kuweka wazi silaha za maangamizi
ha haaaa, umenikumbusha siku nililia airport....Hapana hana kazi yeye huwa simlilii kabisa. Unajua inatokea unaweza kwenda ofic flani ukahitaji huduma na nikiona nazungushwa kwa kuonewa basi hapo machozi lazima yanitoke tu hata kama nacheka siwezi kujibizana. Kuna siku nilienda muhimbili nilikua na mgonjwa basi dr kanizunguusha kwa kweli humo njiani wakati narudi machoji yalitoka. Mpaka huwa naiambia nafsi kwamba sasa basi lkn......
ha haaa, mi sitaki rafikiMie nilidhani kuwashwa na macho ni moja ya viashiria lol! hahahahaha
ha haaa, hivi kuna uzi ambao haujawahi chakachuliwa? siku hizi hata siasani watu wanachakachua, lol!Hahahahahahahahahaha na hivi anaangalia movie za mabunduki itabidi nitafute pa kujificha, nilijua wameanza kulisahau hili ulishabatizwa nalo la kwako tu hata ufanyeje Fixed Point usikasirike nauchakachua uzi wako kwa kumbusha BAK jina lake alilopewa siku ileee kama unakumbuka.
ha haaaa, unakumbuka nilivyoletewa kibox cha tissues?Pacha wako wala asikucheke kwenye hili la kuangusha machozi hadharani. Hana tofauti kabisa na wewe. Akitaka huduma mahali akiikosa basi huanza kutiririka na machozi tena ndoo za machozi ππ
sijafundishwa kuweka wazi silaha za maangamizi
mmmmhhhhh hapo umeingia chaka rafikiMie nilidhani kuwashwa na macho ni moja ya viashiria lol! hahahahaha
ha haaaa, unakumbuka nilivyoletewa kibox cha tissues?
chezeya mimi wewe! wenyewe mtanihudumia, lol!
mmmmhhhhh hapo umeingia chaka rafiki
ha haaa, haya banaNdio maana kukawa majukwaa kama haya lengo sio kupiga soga humu kwani nani anakujua....je leba mbona zinawekwa zote kama si kukabidhi. kwi kwi kwi
ha haaa, waliona haka kadada kashamba sana, wenzake wanalilia kuja huku kenyewe kanataka kurudi huko vichochoroni....Nakumbuka sana lol! wacha waanze kuhangaika huku na kule kuhakikisha Fixed Point anapata huduma aitakayo na huduma ikapatikana mara moja na kibox cha tissues juu kumbembeleza Fixed Point
ha haaa, waliona haka kadada kashamba sana, wenzake wanalilia kuja huku kenyewe kanataka kurudi huko vichochoroni....
ila baadae walinitaniaje baada ya kuona tabasamu nilipokabidhiwa boarding pass zangu
ha haaa, ni bora usitie neno, lol! ntakununia..... si unanijua?Hahahahahah lol! mie sitii neon ππ.....Nimecheka sanaaaa lol!