Sijui ndo uzee....

Kwenye hiyo makala, mojawapo ya symptoms za huo ugonjwa iliyotajwa ilikuwa "Difficulty falling asleep at night or getting back to sleep after waking during the night" Kwa hiyo hata tatizo la kuwashwa macho wakati una usingizi lingeweza kuwa ni tatizo hilo hilo. Hata hivyo, madaktari wa hosp huwa wanaaminika zaidi kuliko ushauri wa kitabibu tunaotoa hapa.
 
pacha, hata mimi naona hii ni tabia ambayo imegoma kutoka mwilini mwangu maana sikumbuki lini macho yaliacha kuniwasha nikiwa na usingizi. basi ngoja nijikubali tu
 
Bibie.@Fixed Point Hujatuambia una umri wa miaka mingapi?umeolewa au hujaolewa? Matatizo yako yamekuanza lini? ulishawahi kwenda hospitali?
rafiki, mimi nina umri mkubwa sana, ila sijui kama ni kigezo maana hata nilipokuwa teen bado macho hayakuacha kuniwasha, yaani ninavyojukumbuka muda wote macho huwa yananiwasha ninapokuwa na usingizi.
Nimeolewa kitaambo...
nilishawahi kwenda hosp na nikapimwa macho hayakuonekana na tatizo lolote ila nikapewa drops ambazo nilitumia na wala hayakuacha
 
mtani si unitajie tu hilo jukwaa.... sasa mimi nitalijuaje?
kuhusu kukonyezwa barabarani :tape:
 
........Tena macho yakiwasha washa usingizi wake mtamuu...ilikua inanitokea nikiwa prepo kama nimechoka kusoma
ha haaa, ila sasa kujikuna nako ni kasheshe, maana unatamani hadi kulia, basi tu
 
rafiki ulikuwa unakoroma kwenye movie? kwa nini njemba zilikucharukia?
mimi ni bingwa wa kusinzia kwenye movie lakini sijawahi kucharukiwa, lol!
movie inaitwaje?
 
Reactions: BAK
nitarudi tena kwa dr. ingawa sina shida kabisa ya kupata usingizi, yaani nikipanda kwa kitanda tu nimeshaangusha gogo
 
bibie Fixed Point Umri wako mkubwa kama Tembo vile? unakataa hata kusema umri wako? unamuogopa nani hapa Jamii Forums? mimi umri wangu miaka 60 sasa wewe una umri wa miaka mingapi?jibu swali langu usikwepe tafadhali.
 
Last edited by a moderator:

mmmhhhh! nilipoandika hivyo nilitaka kusema mimi mkubwa kwako..... kumbe umenipita miaka 3 tu, happy?
 
pacha, hata mimi naona hii ni tabia ambayo imegoma kutoka mwilini mwangu maana sikumbuki lini macho yaliacha kuniwasha nikiwa na usingizi. basi ngoja nijikubali tu
Bora ujikubali haiwezekani na ujana au uzee huo leo igeuke kua ugonjwa. Zipo hali hatuzipendi lkn hatuna control nazo
 
Hahahahahah lol! Mie huwa sikoromi banaaa πŸ™‚πŸ™‚ nikilala kimyaaaa hata sauti ya fan ni kubwa sana...Walinicharura kwa sababu walijitahidi kuniamsha bila mafanikio na hawajawahi kuniona nauchapa kwenye movie hata tukiingia za saa nne za usiku....Chezeya siku mbili za kulala masaa machache weye!!!!... Movie hii hapa rafiki itafute ukaione, mie lazima niione tena safari hii na macho maangavu tangu mwanzo hadi mwisho πŸ™‚πŸ™‚

rafiki ulikuwa unakoroma kwenye movie? kwa nini njemba zilikucharukia?
mimi ni bingwa wa kusinzia kwenye movie lakini sijawahi kucharukiwa, lol!
movie inaitwaje?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…