Sijui ndo uzee....

Eeeeh banaaaa eehhh! Dah! John Mtembezi kakolea barabara...hahahahahaha lol!
yani hv unaweza ukawa na aibu namna hii jamani!
ehehehhehhe walahi kuna haja ya Asprin kuja kutoa semina elekezi
 
Last edited by a moderator:
Haya usiku mwema, kumbe ukiwa na masanga kichwani ndio huwa muongeaji hivi eeh!? lol!!! hahahahaha hii leo ilikuwa ni burudani ya aina yake. Lala unono snowhite

mi sawa naenda kulala BAK lakini
BORA PUNDA AFE MZIGO WA BWANA UFIKE!
we haya!
hapo ndo unafanya nimmisimo Kaizer
angekuwa ni yeye hapa ningelkuwa nimelala saa mbili kasorobo!
saaa nyiiiingi !
we unapewa perememde unatulia!
komaa na halua ENH!
 
Last edited by a moderator:
Mwambie huyu dogo lako dah!!!! hahahahahaha lol! Chezeya John Mtembezi weye!!!!
john mtembezi ni balaa!
ahahahhahahhah ila umenipromise hii sredi itakuwa klozed masaa 4 toka sasa,si ndio?
 
Haya usiku mwema, kumbe ukiwa na masanga kichwani ndio huwa muongeaji hivi eeh!? lol!!! hahahahaha hii leo ilikuwa ni burudani ya aina yake. Lala unono snowhite

ahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahahhahahahhahahhaa :yield::help:
 
Dah!!!! sijui hata unaongea nini, mie sijakutuma kazi yoyote snowhite lol! hivi nimeshawahi hata siku moja kukutuma lolote lile!!!! Kalale banaaaa usijiadhirishe kiasi hicho. Kama kuna aliyekutuma basi si miye acha kuandika vitu ambavyo havipo banaaaaa kalale sasa πŸ™‚πŸ™‚

kwani mi nimebisha ,sawa mi ntaamka na hangover poa!ntazimu tu na kagin kengine!
lakini angalau nipe kamoyo basi kuwa KAZI NILIYOIANZA UTAIMALIZIAMO!
MWE!
 
Last edited by a moderator:
ha haaa mdogo wangu snowhite leo umeniacha hoi....
sikuwahi kujua spaleta zinalewesha, lol!
ndo nini sasa kumkalia kooni rafiki yangu BAK mpana anashindwa kujitetea?
 
Last edited by a moderator:
Kwanini ifungwe banaaaa? iache tu iendelee kuwepo sioni sababu ya kufungwa.

john mtembezi ni balaa!
ahahahhahahhah ila umenipromise hii sredi itakuwa klozed masaa 4 toka sasa,si ndio?
 
wewe mi sinywi hata maji ya kunywa hapa!
was joking all ze way!
NITAKE RADHI fasta!
I MEAN IT!

BTW did you believe what i was saying?
thts snowhite for you!
usiku mwema dear!
was very very good chatting with you!
umeniudhi lakini mwishoni!
 
ha haaa mdogo wangu snowhite leo umeniacha hoi....
sikuwahi kujua spaleta zinalewesha, lol!
ndo nini sasa kumkalia kooni rafiki yangu BAK mpana anashindwa kujitetea?
ahahahahhahah BAK kajaa kingi kajua niko njwii kweli!
ajahahahhahahhahahha mwambie rafiki yako mi ndo nyumba ya sanaa !
FULL MAIGIZO mpaa kanisani!
ehhehehheheh af ina fulani wanajifanya wanajua kuigiza!watu tupo na vipaji vyetu hapa!
 
Last edited by a moderator:
Sina mbavu aisee yaani nimecheka hapa mpaka watu wananishangaa...Kweli pombe si maji dah!!!! Unaweza ukaandika vitu ambavyo hujui lolote lile kwa hisia tu ulizokuwa nazo na viroba kichwani vinakupa nguvu ya kufanya hivyo dah!!!!

ha haaa, mimi sijui ukilaza ndo unazidi kunikolea,
yaani hapa nawasoma wote wawili ni full maigizo.......
mmekutana, hakuna mshindi hapa.......
yaani mimi ndo nimepata burudani muruwa..... nachekaje sasa!
bora nimepata cha kulaliamo, lol!
ulale salama mdogo wangu
 
ahahahahhahah BAK kajaa kingi kajua niko njwii kweli!
ajahahahhahahhahahha mwambie rafiki yako mi ndo nyumba ya sanaa !
FULL MAIGIZO mpaa kanisani!
ehhehehheheh af ina fulani wanajifanya wanajua kuigiza!watu tupo na vipaji vyetu hapa!
ha haaa, eti mi naona mmefanyiana maigizo, lol!
ngoma droo...
wewe mdogo wangu kwa kuigiza nakufagilia, ila BAK sikujua kuwa yeye ni mwigizaji pia, nilijua ni life saver tu, kumbe na maigizo anayajua!
MMETISHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Sina mbavu aisee yaani nimecheka hapa mpaka watu wananishangaa...Kweli pombe si maji dah!!!! Unaweza ukaandika vitu ambavyo hujui lolote lile kwa hisia tu ulizokuwa nazo na viroba kichwani vinakupa nguvu ya kufanya hivyo dah!!!!
haya wacha ninyamaze ili ubaki kuamini na unachokiamini!
 
Sina mbavu aisee yaani nimecheka hapa mpaka watu wananishangaa...Kweli pombe si maji dah!!!! Unaweza ukaandika vitu ambavyo hujui lolote lile kwa hisia tu ulizokuwa nazo na viroba kichwani vinakupa nguvu ya kufanya hivyo dah!!!!
ha haaa, usitake niamini uliingia kingi.....
huyu mdogo wangu hanywiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii......
yaani ni mwendo wa maji tu, labda na stone tangawizi, lol!
 
Reactions: BAK
ha haaa, eti mi naona mmefanyiana maigizo, lol!
ngoma droo...
wewe mdogo wangu kwa kuigiza nakufagilia, ila BAK sikujua kuwa yeye ni mwigizaji pia, nilijua ni life saver tu, kumbe na maigizo anayajua!
MMETISHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!
uzuri usanii huwa haufanyiki nje ya nyumba ya sanaa!
 
Good night snowhite, see you`re the CHAMP when it comes to uchakachuaji hata ukamuingiza na John Mtembezi kumbe walaaa Dah!!!! ...It was pleasure to chat with you...Sleep tight dogo and sweet dreams of your choice..πŸ™‚πŸ™‚

wewe mi sinywi hata maji ya kunywa hapa!
was joking all ze way!
NITAKE RADHI fasta!
I MEAN IT!

BTW did you believe what i was saying?
thts snowhite for you!
usiku mwema dear!
was very very good chatting with you!
umeniudhi lakini mwishoni!
 
Last edited by a moderator:
Good night snowhite, see you`re the CHAMP when it comes to uchakachuaji hata ukamuingiza na John Mtembezi kumbe walaaa Dah!!!! ...It was pleasure to chat with you...Sleep tight dogo and sweet dreams of your choice..πŸ™‚πŸ™‚
ha haaa, hii ni rushwa ya wazi kabisaaaaaa Ablessed aje aone hapa.....
yaani mtu anapewa cheo hivi hivi kisa kafanikiwa kuingiza mtu kingi, noooooooooooooooooooooooo. snowhite umetisha mdogo wangu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…