Sijui ndo uzee....

Go to bed please!!! night night Snowhite πŸ™‚πŸ™‚
ha haaa, rafiki usimtishe mdogo wangu....
huyu ni mwongeaji sana, kama hujamzoea ndo utamwona kapitiliza.
Ila maneno yake hayana sumu, wewe cheka tu kwa raha zako
 
Reactions: BAK
Nenda kalale banaaa dada yako machozi yake yako karibu sana usimfanye aanze kulia bure kwa wasiwasi akashindwa kulala vizuri πŸ™‚πŸ™‚...Huyo John Mtembezi kwa leo anatosha kabisa

weeee hebu wacha kumfanyia hivo mtoto wa mwanamke mwenzio!
ebana enhe BAK mi nna utani na wewe?
nakuuliza nna utani na wewe?
sasa amua wa kumsikiliza!
hata kama mbuzi anauzwa wenye gunia huwezi kuwekea njiwa bana!we vipi!
STUKA!
 
Go to bed please!!! night night Snowhite πŸ™‚πŸ™‚

ujue mi nimekuwa waili wako ghafla!
manake hata sikuelewi aaarhg!
mi mambo ya kulalamika baadae sipendi!
mambo ya oh unajua sijui dadako alikuwa tu hanielewi of sijui nini!
SHOOOOT BAK! SHOOOT!
AH!sa mi nikalale sa hz nimekuwa mwanafunzi wa nasare!
 
Last edited by a moderator:
Nenda kalale banaaa dada yako machozi yake yako karibu sana usimfanye aanze kulia bure kwa wasiwasi akashindwa kulala vizuri πŸ™‚πŸ™‚...Huyo John Mtembezi kwa leo anatosha kabisa

ha haaa, rafiki kumbe kumtimua kote huku unanitetea mimi?
asante sana rafiki yangu.... kweli nimeamini rafiki ni bora kuliko mwanasesere.....
umeona hii snowhite?
 
ahahahahhahhaahhahaha hakyamama wewe ndo utalia muda si mrefu baada ya kujua kuwa mimi nimeshalala!
ehehehheh I AM WARNING YOU oooh!
GO BAK goooooo!
dada langu macho makavuuuu na usipokomaa nae anabai hivo hivo macho makavuuuuuuuuuuuuuuuu!
ehehehehhe we wacha kabisa hawa wenye principle za ukubwa kwenye kila kitu!
ahhahahha kama kuna siku mkubwa anasemaga marahaba mdogo ndo anapewa shikamoo basi we subiri dada mkubwa alegeze macho!
uuuuiwh!UTARARA NJE KWELI!
 
Last edited by a moderator:
hahahahaha lol! Hii John Mtembezi naona usiwe unabugia sana maana haya ya leo Mhhhhh! Ni burudani ya aina yake lol!!!! hahahahah

ujue mi nimekuwa waili wako ghafla!
manake hata sikuelewi aaarhg!
mi mambo ya kulalamika baadae sipendi!
mambo ya oh unajua sijui dadako alikuwa tu hanielewi of sijui nini!
SHOOOOT BAK! SHOOOT!
AH!sa mi nikalale sa hz nimekuwa mwanafunzi wa nasare!
 
ujue mi nimekuwa waili wako ghafla!
manake hata sikuelewi aaarhg!
mi mambo ya kulalamika baadae sipendi!
mambo ya oh unajua sijui dadako alikuwa tu hanielewi of sijui nini!
SHOOOOT BAK! SHOOOT!
AH!sa mi nikalale sa hz nimekuwa mwanafunzi wa nasare!
bora ukalale mdogo wangu, maana naona sasa unataka kumtafunia BAK kila kitu......
ila si unanijua dadako lakini? vigingi nilivyonavyo atapita kweli? lol!
ila nina ile kitu bomba kichizi, hope this time sijachemsha, maana niliangalia mara kumi kumi, lol!
ukiumwa na nyoka once......
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
hahahahaha lol! Hii John Mtembezi naona usiwe unabugia sana maana haya ya leo Mhhhhh! Ni burudani ya aina yake lol!!!! hahahahah
ahahahhahah na hiv nachanganya na barafu na kalimao !ehehehehhe uuwih!
hv hii sredi si itafutwa kwenye mida ya saa kumi na mbili kasorobo enh!
 
BAK af bado unang'ang'ania mi nikalale!
basi niambie nikalale we utaendelea niliposhia mweee!ujue kukomaa na dada angu af dadangu mkubwa mpaka anasema hv sio kazi rahisi ujue!
EHEHEHEHEHHEH AF HIYO para ya mwisho hiyo! nimeruaje sasa hapa!
ehehehhehe uuuwih!yani nishajipigia picha!
 
Last edited by a moderator:
Kalale banaaaa naona John Mtembezi ameshakolea kichwani lol! hahahahaha...usije ukamliza dada yako bure πŸ™‚πŸ™‚...Machozi yake kama ujuavyo anayo ya kumwaga

Dogo lako leo limeamua kubugia John Mtembezi lol!!!! sijui aliongezea na Ulanzi? hahahahaha lol!!!!

ha haaa, rafiki kumbe kumtimua kote huku unanitetea mimi?
asante sana rafiki yangu.... kweli nimeamini rafiki ni bora kuliko mwanasesere.....
umeona hii snowhite?
 
Nilale nje mara ngapi weyeeee snowhite!!!! kalale banaaaa πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚...ukumbuke kupata supu ukiamka ili kupunguza hangover

Last edited by a moderator:
mi sawa naenda kulala BAK lakini
BORA PUNDA AFE MZIGO WA BWANA UFIKE!
we haya!
hapo ndo unafanya nimmisimo Kaizer
angekuwa ni yeye hapa ningelkuwa nimelala saa mbili kasorobo!
saaa nyiiiingi !
we unapewa perememde unatulia!
komaa na halua ENH!
 
Last edited by a moderator:
Nilale nje mara ngapi weyeeee snowhite!!!! kalale banaaaa πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚...ukumbuke kupata supu ukiamka ili kupunguza hangover
kwani mi nimebisha ,sawa mi ntaamka na hangover poa!ntazimu tu na kagin kengine!
lakini angalau nipe kamoyo basi kuwa KAZI NILIYOIANZA UTAIMALIZIAMO!
MWE!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…