NATAKA KUTETEA CHEO CHANGU!snowhite, Ablessed, chikutentema na rafiki yenu BAK ntawatimua kwenye uzi wangu....
mkafanye madiskasheni yenu kwenye uzi mwingine, sawa?
kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
mnasonyaje kimya kimya!
ha haaa, sasa mbona husomeki mdogo wangu....NATAKA KUTETEA CHEO CHANGU!
af wewe!
usifikir nakuangalia kwa jicho zuri!shauri yako!
snowhite, Ablessed, chikutentema na rafiki yenu BAK ntawatimua kwenye uzi wangu....
mkafanye madiskasheni yenu kwenye uzi mwingine, sawa?
kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii iiii
mnasonyaje kimya kimya!
ha haaa, sasa mbona husomeki mdogo wangu....
kiwanja cha nyumbani huonekani, sasa unafikiri mimi ntafanyaje?
miss you sana yaani
KHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA:help:Kile kiashiria kimojawapo cha macho kuwasha bado hakijaanza kuleta dalili za nanihii lol!!!!...Shurti ipakwe asali ili kuongeza utamu 🙂🙂
khaa!:tape:Kile kiashiria kimojawapo cha macho kuwasha bado hakijaanza kuleta dalili za nanihii lol!!!!...Shurti ipakwe asali ili kuongeza utamu 🙂🙂
ha haaa, ongea na BAK ndo kanikabidhi vyeo vyote, lakini si umeona nilivyokataa hiki cheo? najua wewe ndo unaongozaah sitaki!
kumisika wala nini kwnaza we niikiwa sipo unachukulia ujiko vyeo vyangu thitaki!
nataka wewe na BAK mnitake radhi wa kuchukua iliyo HAKI YANGU YA KUZALIWA!
ehehehhehhe ongea na mshua badilishe usemi!
la sivyo naharibu hapa hapa!
khaa!:tape:
najua sana huwapendi!na nimethema makuthuudi ili ukanushe uthemi!
ha haaa, uloli nde mlongo wangu?mwenzio NIMEHINDUKA!
nikabaki wengooooooo kwnai chaaaani?mwnye bai huyu chaani!
ha haaa sitaki uchokozi rafikiMhhhhh!!! Kwani umefunga sita weye!? 🙂🙂
bana enhe hebu kachokozaneni wenyewe bana!ha haaa sitaki uchokozi rafiki
:tape::tape::tape:
ha haaa, wewe soma tu mdogo wangu, hazina madhara wala ninibana enhe hebu kachokozaneni wenyewe bana!
mi naangalia hapa mjue!
af sifumbi macho wala nini!
mtajijua wenywe asubuhi mkija kusoma tena hz post!
Unataka namba ya juu katika uchakachuaji siyo!? au ni vipi?
kwani nani kasema zina madhara!ha haaa, wewe soma tu mdogo wangu, hazina madhara wala nini