Sijui ndio hapa?

Kbd

JF-Expert Member
Oct 9, 2009
1,260
447
Habari zenu za leo waungwana!!! Naomba kuuliza............nilikuwa naelekea JF, sijui ndio hapa? na kama wenyeji wangu nimewakuta?
 
umetukuta karibu sana...mimi ndo Preta wa chumba cha mahusiano, mapenzi na urafiki karibu kwetu...utakunywa wine au champagne?
 
umetukuta karibu sana...mimi ndo Preta wa chumba cha mahusiano, mapenzi na urafiki karibu kwetu...utakunywa wine au champagne?

Asante sana Preta........maji yakunywa tu yananitosha, maana jua kali.
 
Asante sana Preta........maji yakunywa tu yananitosha, maana jua kali.

unajua wenyeji wa jukwaa lile wote ni waungwana...karibu unywe chochote unachokipenda hata chimpumu kama unatumia
 
Inabidi uweze Kbd bila hivyo hutaingia humu jamvini
Karibu JF

JS umeniacha hoi.........basi itabidi nije kwako unifundishe maana sina hata aidia inakuwaje.
 
ndo hapa ...hobbie zako tafadhari

Mhhhh FL1....mbona umeniweka kikaangoni mwenzio? Hivi mi na-hobbie kweli........mbona nipo nipo tu. Naomba unipe muda nifikirie kidogo maana maisha yangu nayaona kama triangle kwa sasa...... HOME-KAZINI-KANISANI.
 
Habari zenu za leo waungwana!!! Naomba kuuliza............nilikuwa naelekea JF, sijui ndio hapa? na kama wenyeji wangu nimewakuta?
MIJITU MINGINE BWANA!!!!!!!!!!!!!!!!!!
kwani we unaonaje???????????????????
 
MIJITU MINGINE BWANA!!!!!!!!!!!!!!!!!!
kwani we unaonaje???????????????????

Pole sana Jile79 kama nimekuudhi kwa hayo maelezo yangu ya awali. Hilo halikuwa lengo langu, tafadhali nisamehe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom