Watching babygirl, with my eyes wide open...hana lolote huyo just watch the match
Hehehee si lazima bana hebu hata live chicken na a suck of charcoal, ikubali tu...
Lol!
Binti smile anajikakamua, ila hajachacha naye!
ikishindikana kabisa nitakuwa hata nyumba ndogo ya pascalFor now you are safe though.
She is probably too damn busy with her gigolo.
But the moment she enters the race, it's a wrap :lol::lol:
hata kama ni wa kutafuta kwa majivu mi ninao.acha majungu.Smile anang'ang'ana wakati hao wote ni style za kukutafuta kwa gunia la mkaa! Mi simo
ikishindikana kabisa nitakuwa hata nyumba ndogo ya pascal
Heheheee janja sana wewe eeeh! Unataka ionekae hiyo ni territory yakoNamaanisha bht, sipigi mkwara,huyu Smile ana speed ya ajabu...nimeona nimueleweshe mapema,tusisumbuane.....!
For now you are safe though.
She is probably too damn busy with her gigolo.
But the moment she enters the race, it's a wrap :lol::lol:
Hahahaaa na usiwemo tu kwa sasa ila siku yako ipo.....Smile anang'ang'ana wakati hao wote ni style za kukutafuta kwa gunia la mkaa! Mi simo
Ngabu viwango vyangu vinataka Mr Chocolatey anipeleke St. Tropez
Hahahaaaaa hapo sasa, wapi Pasco, kibanda ndo hichi!ikishindikana kabisa nitakuwa hata nyumba ndogo ya pascal
Ngabu viwango vyangu vinataka Mr Chocolatey anipeleke St. Tropez
Dah...kudadadadeeeki!
Aminia hivyo viwango.
how nn?You are bound and determined.oa
Ama, kweli hivi viko juu ya msatari
ni pm best nina shida sana na hao wanaumeMimi najua nani ni nani hapo, utaniruhusu nitaje majina:lol:
wewe belinda huniwezi mimi sina shepu la kichina mwenyewe atahamia mbona
hehehee nimependa hiyo determination yako, karibu nahamia timu yako, I am always in a winning team...lol!
Aaah Belinda mi mshangiliaji tu hapa...hehehee!
Naskia BJ lake la ki Brazil
hana lolote si umeona kakimbia?